LEARN SWAHILI/JIFUNZE KISWAHILI : LESSON 1: CLASSROOM INSTRUCTIONS - Printable Version +- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz) +-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1) +--- Forum: Kiswahili kwa wageni (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=8) +--- Thread: LEARN SWAHILI/JIFUNZE KISWAHILI : LESSON 1: CLASSROOM INSTRUCTIONS (/showthread.php?tid=303) |
LEARN SWAHILI/JIFUNZE KISWAHILI : LESSON 1: CLASSROOM INSTRUCTIONS - MwlMaeda - 06-26-2021 Lesson 1: Classroom Instructions rudia……. repeat mwalimu….. teacher profesa …….professor mwanafunzi …….student jibu ………..answer; respond uliza ………ask unaelewa? ………….do you understand? mnaelewa? ……………do you all understand? ndiyo …………………yes la; hapana ………..no swali ………………question mna swali? …………….does anyone have a question? mwalimu, nina swali………….. teacher, I have a question sielewi ………………..I do not understand sikiliza ……………………listen (s. command) sikilizeni………………. listen (pl. command) simama ………………..stand tafadhali, simama…………… please, stand keti; kaa ………………….sit tafadhali, keti/kaa ……………..please, sit down kusanya …………………..collect karatasi…………………. paper tafadhali, kusanya karatasi…………. please, collect the papers leta …………………….bring tafadhali, leta karatasi …………………please, bring the papers enda ……………….go tafadhali, enda …………………please, go tazama……………………. look funga kitabu………………….. close the book fungua kitabu…………………. open the book tafadhali ……………………..please tafadhali rudia…………….. please repeat tafadhali, fungua kitabu …………….please, open the book tafadhali, nyamaza ……………….please, be quiet (sing.) tafadhali, nyamazeni ………………..please, be quiet (pl.) tafadhali, ongea/zungumza/sema katika ……..Kiingereza please, speak in English tafadhali, jibu katika/kwa Kiswahili………… please, respond in Kiwahili tafadhali, ongea/zungumza/sema katika Kiswahili ……….please, speak in Kiwahili polepole……………….. slowly tafadhali, ongea/zungumza/sema polepole…………….. please, speak slowly taja ……………mention. tamka …………pronounce soma …………..read; study andika ………..write Classroom Instructions ………………[maagizo ya darasani] andika kwa Kiswahili…………………… write in Kiwahili tafadhali soma……………… please read kumbuka……………………… remember (sing.) mnakumbuka ………………..remember (pl.) jaribu………………………… try tena ……………………again jaribu tena……………. try again tafadhali jaribu ………..please try karibu ………………..elcome tafadhali fungua mlango …………please open the door tafadhali funga mlango…………. please close the door tafadhali kaa/keti………………. please sit (sing.) “Crying” ni nini kwa Kiswahili? ……….What is “crying” in Kiwahili? tafsiri…………………. translate chemsha bongo ……………….brain teaser sijui………………. I do not know kwaheri…………… bye kwaheri, tutaonana kesho…………… goodbye, hope to see you tomorrow kwaheri, tutaonana baadaye…………… goodbye, hope to see you later asante…………. thank you asante sana……………… thank you very much njoo ………………….come tafadhali, njoo…………… please, come samahani ………………pardon; excuse me samahani, mwalimu, nina swali…………… excuse me, teacher, I have a question haraka ……………fast tafadhali, ongea/zumgumza/sema haraka haraka ……………please, speak quicker vizuri …………………good vizuri sana ……………very good Wewe ni mzuri. …………..You are good. Wewe ni mbaya. ……………You are bad. kazi nzuri ………………….good work kazi ya nyumbani ……….homework Leo tutasoma ………………..Today we will learn _____. Jana tulisoma nini? …………..What did we learn/study yesterday? Leo tumesoma nini? …………What have we learned/studied today? |