WATU MBALIMBALI/ VARIOUS PERSONALITIES - Printable Version +- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz) +-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1) +--- Forum: Kiswahili kwa wageni (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=8) +--- Thread: WATU MBALIMBALI/ VARIOUS PERSONALITIES (/showthread.php?tid=300) |
WATU MBALIMBALI/ VARIOUS PERSONALITIES - MwlMaeda - 06-26-2021 Various Personalities [watu mbalimbali] A). Various Personalities daktari [doctor] daktari wa meno [dentist] daktari wa macho mhunzi [blacksmith] mjenzi [construction worker] mkalimani [interpreter] mkulima [farmer] mnajimu [astrologist] mpishi [cook] mshairi [poet] mtafiti [researcher] mvuvi [fisherman] mwaguzi [dream interpreter] mwalimu [teacher] mhadhiri [lecturer; instructor] ustadh; ustadhi [professor] profesa [professor] padre; kasisi [clergy] sheha [imam (Islamic leader)] mpelelezi; jasusi [spy; detective; investigator] ofisa wa polisi; askari; polisi [police officer] mekanika [mechanic] nahodha [sea captain] nahodha wa meli [ship crewman] mwashi [mason] rubani [pilot] seremala [carpenter] sonara [jeweler] mchimba madini [miner] tabibu [healer; physician] mchuuzi [retailer] mfanyakazi; mtumishi [worker] mhandisi [engineer] mhariri [editor] tarishi; mjumbe [postman; messenger] sogora [drummer] msajili [registrar] msusi [hairbraider; beautician] msasi [hunter] mlanguzi [smuggler] mlanguzi wa madawa [drug dealer] mshenga [matchmaker] naibu [deputy; assistant; acting officer] baharia [sailor] utingo; tanboi [luggage manager] mbunge [MP; Senator] diwani [council person] topasi [janitor] saisi [one who takes care of horses] rais; raisi [president] gavana [governor] mwakilishi [representative; congress person] waziri [minister; cabinet secretary] waziri wa afya [Minister/Secretary of Health] meya [mayor] mfalme [king] malkia [queen] mganga [healer; physician] maskini; fukara [poor person] mwadhini [muezzin] jumbe [village elder; chief; headman] mpagazi; mchukuzi; hamali [carrier; porter] kiranja [student leader] mshona viatu [cobbler] dalali [auctioneer] jemadari [commander in chief; chief of staff] uledi [cabin boy] liwali [administrative official; headman] mwenyekiti [chairman; chairperson] katibu wa chama [secretary of the association] mwanachama [member] mwekahazina [treasurer] nokoa [farm manager] yaya [nanny] kuli [dockworker] somo [confidante; intimate friend] mhasibu [accountant] mtemakuni [firewood fetcher] mpigaramli [fortune teller] mtumishi [servant; waiter; worker; laborer] mkutubi [librarian] shaibu [old man] ajuza [old woman] kikongwe; mzee [old person] kingori [young man] mtanashati [teenage boy] mume; mwanamume; janadume [man] mwari [young woman] mwanamwali [teenage girl] mke; mwanamke; janajike [woman] tajiri; mkwasi [rich person] mchawi [witch] mkuu wa chuo; rais wa chuo [university president] mwenyekiti idara [head of department] mkuu wa kitivo [dean] ofisa wa chuo mpakaji rangi muuzaji mwongo; mlaghai mjinga mnafiki mfitini msaliti [university official] [painter] [salesperson] [liar] [stupid] [pretender; liar] [inciter] [traitor] B). Personalities that begin with mwana‐ Zingatia: mwana [child]. mwanamuziki [musician] mwanasayansi [scientist] mwanaanga mwanahewa [astronaut] mwanahisabati mwanahesabu [mathematician] mwanamitindo [fashion designer] mwanamichezo [sportsman/sportswoman] mwanasanaa [artist] mwanamaji [marine] mwanajeshi [soldier] mwanaisimu [linguist] mwanahistoria [historian] mwanahewa mwanaanga [air force] mwanabayolojia [biologist] mwanaanthropolojia [anthropologist] mwanasheria [lawyer] mwanasiasa [politician] Zingatia [note] fanya [do] sijui [I do not know] si [is not] sina kazi taka inategemea gani ungependa ungetaka [I do not have] [work/employment] [want] [it depends] [which] [you would like] [you would want] |