MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

Umuhimu wa vitendawili - Printable Version
|

+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Fasihi simulizi (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=6)
+---- Forum: Semi (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=49)
+---- Thread: Umuhimu wa vitendawili (/showthread.php?tid=30)
|
Umuhimu wa vitendawili - MwlMaeda - 06-15-2021
- Vitendawili huburudisha kwani hutegwa kwa njia ya uchangamfu na ushindani.
- Huwaleta watu pamoja (huunganisha jamii) kwani vinapotegwa watu hukusanyika pamoja.
- Vitendawili huhamasisha watu kuhusu mazingira yao kwani hulenga vitu vinavyopatikana katika jamii hiyo.
- Vitendawili hukuza uwezo wa kufikiria/kukumbuka kwani anayetoa jibu huhitajika kukumbuka jibu la kitendawili.
- Vitendawili hukuza na kuhifadhi tamaduni kwa maana hupokezanwa kutoka kizazi hadi kizazi.
- Vilitumika kupitisha wakati na kuwafanya watoto wasilale mapema kabla ya chakula kuwa tayari.
|