Modifiers ‐INGI and ‐INGINE - Printable Version +- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz) +-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1) +--- Forum: Kiswahili kwa wageni (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=8) +--- Thread: Modifiers ‐INGI and ‐INGINE (/showthread.php?tid=299) |
Modifiers ‐INGI and ‐INGINE - MwlMaeda - 06-26-2021 Sentensi: 1. Vitabu vingi vimenunuliwa. [Many books have been bought.] 2. Miti mingi itapandwa kesho. [Many trees will be planted tomorrow.] 3. Pahali pengi pameharibika. [A lot of places have been damaged.] 4. Nina rafiki wengi. [I have many friends.] 5. Nilinunua kalamu nyingi. [I bought many pens.] 6. Nina vitabu vingi vya Kiswahili. [I have many Kiswahili books.] 7. Nimepoteza madaftari mengi. [I have lost many notebooks.] 8. Wanafunzi wengi katika darasa la Kiswahili ni wazuri. [Many students in Kiswahili class are good.] 9. Wanafunzi wengi wa KU ni walevi. [Many KU students are drunkards.] 10. Nyumba nyingi katika Lawrence ni za zamani. [Many houses in Lawrence are old.] Sentensi: 1. Fatuma ameleta kiatu kingine. [Fatuma has brought another shoe.] Fatuma ameleta viatu vingine. [Fatuma has brought other shoes.] 2. Gari jingine limeharibika. [Another car has been destroyed.] Magari mengine yameharibika. [Other cars have been destroyed.] 3. John amenunua nyumba nyingine. [John has bought another house.] John amenunua nyumba zingine. [John has bought other houses.] 4.Nitatafuta rafiki mwengine. [I am searching for another friend.] 5. Tumenunua gari jingine. [We bought another car / vehicle.] 6.Tumenunua nyumba nyingine. [We bought another house.] 7. Nimepoteza simu nyingine. [I have lost another phone.] 8. Tutaenda pahali pengine baada ya darasa la Kiswahili. [We will go to another place after Kiswahili class.] 9. Tutaenda mkahawa mwingine baada ya karamu. [We will go to another restaurant after the party.] 10. Tutaona filamuni nyingine leo usiku. [We will see another film tonight.] 11. Mama yangu amenunua nguo nyingine. [My mother has bought another cloth.] 12. Nitakula vyakula vingine kesho. [I will eat other foods tomorrow.] 13. Nitasafisha nguo zingine kesho. [I will clean other clothes tomorrow.] 14. Ninataka kula chakula kingine. [I would like to eat another food.] 15. Ninataka kula tunda jingine. [I would like to eat another fruit.] |