Jifunze majira ya mwaka (Kiswahili kwa wageni) - Printable Version +- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz) +-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1) +--- Forum: Kiswahili kwa wageni (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=8) +--- Thread: Jifunze majira ya mwaka (Kiswahili kwa wageni) (/showthread.php?tid=297) |
Jifunze majira ya mwaka (Kiswahili kwa wageni) - MwlMaeda - 06-26-2021 Seasons Seasons [nyakati; majira; misimu] A). Seasons vuli; maanguko; mvua chache ; mchoo [fall; autumn] kipupwe; baridi kali; baridi sana [winter] masika; mvua nyingi [spring] kiangazi; joto [summer] Question Formation Mifano: 1. Huu ni wakati/msimu/majira gani? [Which season is this?] a). Huu ni wakati wa/ msimu wa/ majira ya kipupwe. [This is the winter season.] b). Huu ni kipupwe. [This is winter.] c). Ni kupupwe. [It is winter.] 2. Wewe unapenda wakati/majira/msimu gani? [Which season do you like?] a). Ninapenda wakati wa/ majira ya/ msimu wa vuli/masika/kipupwe. [I like the fall/spring/winter season.] b). Ninapenda vuli. [I like fall.] 3. Wewe hufanya nini wakati/majira/msimu wa joto? [What do you do in the summer?] a). Mimi hucheza/huimba/hulala/husoma/husafiri/huenda filamuni/hupumzika wakati/majira/msimu wa kiangazi. [I play/sing/sleep/read/travel/go to movies/ rest in the summer.] b). Mimi hucheza/huimba/hulala/ husoma/husafiri. [I play/sing/sleep/read/travel.] c). Mimi hupanda maua/hutembelea marafiki na familia. [I plant flowers and go on walks with friends and family.] d). Mimi hupumzika na husoma katika shule ya kiangazi/joto. [I rest and I study in summer school.] 4. Wewe hupendi wakati/majira/msimu gani? [Which season do you dislike?] Mimi sipendi kipupwe. [I dislike winter.] 5. Kaka/Mama/Baba/Dada/Rafiki yako hapendi wakati/majira/msimu gani? [Which season does your brother/mother/father/sister/friend dislike?] Kaka/Mama/Baba/Dada/Rafiki yangu hapendi vuli. [My brother/mother/father/sister/friend dislikes fall.] B). Types of wind [Aina za pepo] kusi kaskazi [south monsoon wind] [north east monsoon wind] matlai [easterly wind/ morning wind] yahom [westerly wind] Mazungumzo [dialogue] Maria: Hali ya hewa/anga Afrika ya Mashariki namna gani? (Hali ya hewa/anga Marekani namna gani?) Juma: Wakati wa kiangazi kuna joto sana/jingi. Maria: Na masika je? Juma: Majira ya/ Wakati wa/ Msimu wa masika kuna mvua nyingi, radi, upepo, theluji, barafu, dhoruba na umande mwingi. Maria: Je, unapenda majira ya/ wakati wa/ msimu wa kipupwe? Juma: Hapana/La sipendi majira ya/ wakati wa/ msimu wa kipupwe. Maria: Wewe unapenda msimu gani? Juma: Mimi ninapenda majira ya/ wakati wa/ msimu wa kiangazi/joto. Maria: Wewe hufanya nini majira ya/ wakati wa/ msimu wa kiangazi/joto? Juma: Mimi hucheza/ huimba/ hulala/ husoma/ husafiri/ hupanda maua/ hutembelea marafiki na familia/ hupumzika na husoma katika shule ya kiangazi. |