MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

Ni mambo gani yanayoangaliwa unapohariri mswada? - Printable Version
JIFUNZE KISWAHILI
Ni mambo gani yanayoangaliwa unapohariri mswada? - Printable Version

+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Uandishi/Utungaji (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=12)
+--- Thread: Ni mambo gani yanayoangaliwa unapohariri mswada? (/showthread.php?tid=2858)

Ni mambo gani yanayoangaliwa unapohariri mswada? - MwlMaeda - 11-04-2022

Mambo yanayoangaliwa ni:
i. Aina ya mswada.
ii. Muundo wa mswada.
iii. Maudhui ya mswada.
iv. Ufasaha wa lugha iliyotumika.
v. Usahihi wa alama za uandishi na matumizi ya herufi kubwa na ndogo.
vi. Wahusika waliotumika katika mswada.
vii. Walengwa wa mswada.
viii. Kufaa au kutofaa kwa mswada.