WATUNZI WA FASIHI WANATAFUTWA - Printable Version +- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz) +-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1) +--- Forum: Watunzi wa Kiswahili (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=17) +--- Thread: WATUNZI WA FASIHI WANATAFUTWA (/showthread.php?tid=2841) |
WATUNZI WA FASIHI WANATAFUTWA - MwlMaeda - 10-08-2022 Habari Njema kwa watunzi na Utunzi wa kazi za Fasihi nchini Tanzania. Kampuni ya Uchapishaji ya APE imo katika mradi wa kukusanya simulizi za Watunzi kisha kuzihifadhi zimulizi hizo kwa manufaa ya sasa na ya baadaye. Mradi huu unahisaniwa na kampuni ya Uchapishaji ya APE ya Jijini Dar es Salaam. Mradi unaratibiwa na Prof. Mulokozi kwa kusaidiwa na ndugu A. A. Majid Mswahili. Safu nzima ya mradi huu ni pamoja na ndugu E. Mshahara na ndugu P. A. Daudi katika sekta ya ufundi. Mpaka sasa mradi umewafikia Watunzi wa Dar es Salaam na Zanzibar. Ikiwa wewe bado hujafikiwa, tafadhali tutafute kwa nambari 0715 838480. Watunzi ambao tayari wameshatoa simulizi zao ni hawa wafutao; Kutoka 18/7/2022 hadi 7/10/2022 Hawa ndio wamefikiwa: 1. Amiri Sudi Andanenga x2 2. Ikbal Shaaban Robert (Ndugu wa Mwandishi) 3. Iddy M. Mwimbe 4. Prof. Shani Omari 5. Hussein Wamaywa 6. Dkt Elizabeth Mahenge 7. Prof. Emmanuel Mbogo 8. Shafi Adam Shafi 9. Kevin Mponda 10. Hafidh Kido 11. Bi. Sikudhani Jalala 12. Bi. Shani Kitogo 13. Charles Mloka 14. Amiri Kaluta (Ndugu wa Mwandishi) 15. Hamisi Kisamvu 16. Athumani Mauya 17. Mwafrika Merinyo 18. Ali Athumani Masoud (Zbar) 19. Bi. Saada Kassim Ahmed (Zbar) 20. Ali Mwalim Rashid (Zbar) 21. Rose Mbijima 22. William E. Mkufya 23. Happy Msokile (Ndugu wa Mwandishi) 24. Ismail Himu 25. Esther Mngodo 26. Chambi Chachage (Ndugu wa Mwandishi) 27. Prof. Penina Muhando 28. Richard Mabala 29. Elieshi Lema 30. Mudhihir M. Mudhihir 31. Wakati Mwaruka (Ndugu wa Mwandishi) 32. Abdallah J. Saffari 33. Mugyabuso M. Mulokozi 34. Farouk Topan (Zbar) 35. Ali Mohamed Ali (Zbar) 36. Nassor Hilal Kharusi (Zbar) 37. Bi. Riziki Mohamed Juma (Zbar) 38. Amir Ali Mohamed (Zbar) 39. Ali Abdallah Bahroon (Zbar) 40. Simba Haji Gora (Zbar) (Ndugu wa Mwandishi) 41. Ally Salehe (Zbar) 42. Bashiru Abdallah (Zbar) 43. Rashid Mbwana (Zbar) 44. Nassor Hilal Kharusi (Zbar) 45. Bi. Sabra Amran (Zbar) 46. Frank Masai 47. Hussein Molito Omari . 48. Dotto Rangimoto 49. Dickson Mtalaze 50. Florida Kezilahabi (Ndugu wa Mwandishi) 51. Abyas Mzigua 52. Godftrey Mishomari 53. Shaaban Mngazija 54. Mudi Mwanaharakati 55. Latifa Ntanga 56. Nahida Esmail 57. Khadija Jilala 58. Fr Felician Nkwera 59. Primus Karugendo (Ndugu wa Mwandishi) 60. Bi. Pilli Dumea 61. G.P. Mwamwingila 62. Dkt. Harrison Mwakyembe 63. Bi. Yustar A. Lucas 64. Amiri Sudi Andanenga (mara ya 2) 65. Elias Mutani 66. Stallone Joyfully 67. Hussein Tuwa 68. Abdullah Saiwaad 69. Suleiman Kijogoo Karibu sana katika SAUTI YA MTUNZI, tufuatilia kupitia anuani hiyo hapo chini. Aidha, usipitwe na kipindi cha Siri ya Sifuri kila Jumatano saa 3: 00 usiku Channelten. |