MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

Maneno ya Kiswahili yaliyotoholewa kutoka Lugha mbalimbali za kigeni - Printable Version
JIFUNZE KISWAHILI
Maneno ya Kiswahili yaliyotoholewa kutoka Lugha mbalimbali za kigeni - Printable Version

+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Maendeleo ya Kiswahili (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=11)
+--- Thread: Maneno ya Kiswahili yaliyotoholewa kutoka Lugha mbalimbali za kigeni (/showthread.php?tid=2527)

Maneno ya Kiswahili yaliyotoholewa kutoka Lugha mbalimbali za kigeni - MwlMaeda - 04-26-2022

Maneno ya Kiswahili yaliyotoholewa kutoka Lugha mbalimbali za kigeni:

Kiingereza

Oveni, Soseji, Supu, Chizi, Shati, Sketi, Pini, Hereni, Herini, Burashi, Brashi, Stovu, Mota, Muoki, Kisi, Televisheni, Basi, Plastiki, Injini, Kangaruu, Kalenda, Koti, Buti, Helmeti, Skuli, Skrubu, Sukurubu, Namba, Nambari, Bumarengi, Redio, Savana, Daktari, Bia, Kola, Taulo, Bili, Baisikeli, Mashine, Hospitali, Benki, Sinki, Buluu, Bluu, Familia, Nta Ya Sikio, Gauni, Soksi, Glavu, Glovu, Blangeti, Blanketi, Plau, Sepetu, Sepeto, Reki, Ekseli, Faini, Betri, Polisi, Peremende, Pipi, Bomu, Filamu, Muziki, Gazeti, Sleji, Motokaa, Eropleni, Treni, Fanya Mapenzi, Gluu, Feni, Dansi, Kona, Wiki, Jaji, Jela, Jagi, Leseni, Skii, Kadi, Gamu, Breki, Stempu, Mota, Chokaa n.k

Kihindi:

Duka, Rangi, Sanduku, Bakuli, Jangili, Bata, Barafu, Kaka, Babu, Bibi, Mbuzi, Beberu, Kasuku, Goti, ****, Shela, Bangili, Bungalow, Bangiri, Dirisha, Taa, Ngano, Mwanzi, Muwa, Gundi, Bati, Patasi, Gari, Meli, Nanga, Rangi, Manjano, Namna, Godoro, Bisibisi, Dafu, Hodari, Ngalawa, Jina, Khaki, Kama, Cheti, Pesa, Kodi, Baba, Bahari, Bahati (Njema), Bandari, Barabara, Bunduki, Chai, Chokaa, Chapati, Pilau, Biriani, Dawa, Desturi, Dini, Duka, Dusumali, Hakimu, Hewa, Hori, Jahazi, Kahaba, Kahawa, Karakana, Kazi, Kiberiti, Kufuli, Lozi, Mashua, Meza, Msala, Msumari, Ndimu, Njaa, Pilipili, Popoo, Sabuni, Sanamu, Serikali, Sherisi, Sonobari, Sultani, Suruali, Tayari, Tufani, Tumbaku, Valanda, Wakati, Wazi, Waziri.

Kiarabu:

Aljebra, Alogarithim, Alkali, Karatasi, Dunia, Bara, Bahari, Rasi, Radi, Soda, Sofa, Spinachi Tufani, Giza, Kiza, Umande, Hewa, Theluji, Kiberiti, Arusi, Harusi, Talaka, Baba, Dada, Yatima, Jamaa, Fahali, Farasi, Baghala, Bata, Tai, Samaki, Papa, Simba, Dubu, Ngamia, Mdudu, Damu, Titi, Jasho, Jamii, Hai, Maiti, Kaburi, Swahili, Dhaifu, Afya, Homa, Usaha, Dawa, Sumu, Njaa, Kaba, Birika, Bakuli, Sahani, Tasa, Gudulia, Tini, Zabibu, Lozi, Zeituni, Pilipili, Asali, Sukari, Jibini, Siagi, Sufu, Gitaa, Futari, Afriti, Yasmini, Kitani, Hariri, Maharazi, Joho, Suruali, Kofia, Hema, Sakafu, Dohani, Mshumaa, Rafu, Hori, Tofali, Bustani, Mfereji, Nafaka, Shayiri, Tumbaku, Ndizi, Kazi, Kamba, Kemia, Kata, Mkasi, Makasi, Seremala, Msumari, Subu, Dhahabu, Fedha, Shaba, Risasi, Kikapu, Zulia, Sanamu, Rudi, Daraja, Nira, Kafi, Usukani, Bandari, Miliki, Haribu, Tafuta, Sarafu, Tajiri, Dai, Deni, Ajiri, Mshahara, Soko, Duka, Bei, Ghali, Baada, Kabla, Mahali, Kilele, Karibu, Mashariki, Magharibi, Kaskazini, Kusini, Kulabu, Msalaba, Mraba, Mstari, Sifuri, Sita, Saba, Tisa, Ishirini, Mia, Elfu, Hesabu, Zaidi, Umati, Sehemu, Nusu, Jozi, Wakati, Umri, Sasa, Haraka, Tayari, Abadani, Tena, Asubuhi, Adhuhuri, Alasiri, Saa, Juma, Alhamisi, Ijumaa, Majira, Ladha, Tamu, Laini, Baridi, Safi, Roho, Bahati (Njema), Furahi, Tabasamu, Busu, Huzuni, Wasiwasi, Juta, Huruma, Kasirika, Aibu, Thubutu, Jasiri,

Kiajemi

Mama, Tandu, Kasa, Paja, Chungu , Haragwe, Pamba, Sindano, Chana, Barabara, Gurudumu, Bwana, Malaya, Boma, Balungi, Bandari, Baba, Babu, Bahari, Bahati (Njema), Bara, Barabara, Barafu, Barakoa, Bata, Bibi, Bunduki, Bustani, Chai, Cheti, Dada, Desturi, Dirisha, Duka, Dusumali, Gari, Hodari, Jahazi, Jamvi, Joho, Kahaba, Kaka, Kamba, Karakana, Kazi, Kilele, Kitani, Mbuzi, Mdudu, Meza, Msikiti, Msumari, Namna, Nanga, Ndimu, Ngano, Ngano, Ngano, Njaa, Pilipili, Popoo, Rangi, Serikali, Sherisi, Simu, Siwa, Stadi, Suruali, Tasa, Tayari, Tofali, Tufani, Tufe, Tumbaku, Wazi, Waziri, Kodi, Tasa, Joho, Dirisha, Bustani, Bandari, Bahati (Njema), Desturi, Serikali, Karakana, Dusumali, Barabara, Stadi