MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

Sifa za Vitendawili - Printable Version
|
Sifa za Vitendawili - Printable Version
+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Fasihi simulizi (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=6)
+---- Forum: Semi (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=49)
+---- Thread: Sifa za Vitendawili (/showthread.php?tid=24)
|
Sifa za Vitendawili - MwlMaeda - 06-15-2021
- Vitendawili huwa na mwanzo maalum : Kitendawili tega
- Hupitishwa baina ya watu wawili anayetega na anayetegua
- Vitendawili huwa na muundo maalum wa kuendelezwa (utangulizi, swali, (majaribio ya) jibu; wanaotegua wakishindwa anayetega huwa ameshinda, huitisha apewe mji/zawadi na kisha kutoa jibu)
- Huwa na vipande viwili swali na jibu. Mfano: Kila niendapo ananifuata kivuli.
- Hutumia mbinu ya jazanda, kufananisha vitu viwili moja kwa moja. K.v. Nyumba yangu haina mlango yai (yai limelinganishwa moja kwa moja na nyumba isiyo mlango)
- Hurejelea vitu vinavyopatikana katika mazingira na vinavyojulikana sana
- Vitendawili vilitegwa wakati maalum, hasa wa jioni
- Vitendawili hutumia tamathali za usemi (mbinu za lugha) kama istiara, tashihisi, tashbihi, jazanda, chuku, tanakali za sauti, n.k
- Vitendawili huwa na jibu maalum.
|