MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

ETIMOLOJIA YA NENO ' ETIMOLOJIA' - Printable Version
JIFUNZE KISWAHILI
ETIMOLOJIA YA NENO ' ETIMOLOJIA' - Printable Version

+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=16)
+--- Thread: ETIMOLOJIA YA NENO ' ETIMOLOJIA' (/showthread.php?tid=1903)

ETIMOLOJIA YA NENO ' ETIMOLOJIA' - MwlMaeda - 12-30-2021

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO ' ETIMOLOJIA'

Neno etimolojia[ Ngeli: i-/zi-] katika lugha ya Kiswahili ni nomino yenye maana ya 'Taaluma inayohusu asili ya maneno na namna maana zake zinavyobadilika kulingana na vipindi vya kihistoria.

Neno hili 'etimolojia' asili yake ni lugha ya  Kiingereza.

Katika lugha ya Kiingereza, neno hili etimolojia (soma: etymology) ni nomino yenye maana zifuatazo:

1. The study of the origin of words and the way in which their meanings have changed throughout history (Taaluma inayohusu asili ya maneno na namna ambayo maana zake zimebadilika katika kipindi chote cha kihistoria.) [ Tafsiri ni yangu .]

2. Asili ya neno na maendeleo ya kihistoria ya maana yake.

Kinachodhihiri ni kuwa neno etimolojia ( soma: etymology) lilipoingia katika Kiswahili na kutoholewa kuwa neno etimolojia maana yake katika lugha yake ya asili - Kiingereza haikubadilika.

Shukran sana.

Khamis S.M. Mataka.