MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

ETIMOLOJIA YA NENO ' ADIA - Printable Version
|

+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=16)
+--- Thread: ETIMOLOJIA YA NENO ' ADIA (/showthread.php?tid=1897)
|
ETIMOLOJIA YA NENO ' ADIA - MwlMaeda - 12-29-2021
HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO ' ADIA'
Neno *adia*[ *Ngeli: i-/zi-]* katika lugha ya Kiswahili ni nomino yenye maana ya: fedha au mali unayompa mtu kwa lengo la kumthamini au kuonesha upendo wako kwake.
Katika lugha ya Kiarabu, neno hili *adia* (soma: *hadiyyatun/hadiyyatan/hadiyyatin هدية)* ni nomino yenye maana zifuatazo:
1. Harusi.
2. Zawadi.
3. Upande wa uelekeo.
4. Njia; mwenendo wa maisha.
Kinachodhihiri ni kuwa neno *adia* ( *soma: hadiyyatun/hadiyyatan/hadiyyatin هدية*) lilipoingia katika Kiswahili na kutoholewa kuwa neno *Adia* lilijifunga na ile maana ya 'fedha au mali unayompa mtu kwa lengo la kumthamini au kuonesha upendo wako kwake; zawadi, na kuziacha maana zingine za neno hili katika lugha ya Kiarabu.
*Shukran sana.*
*Khamis S.M. Mataka.*
|