MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

DHIMA YA MHAKIKI WA FASIHI - Printable Version
|

+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Uhakiki wa kazi za fasihi (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=78)
+--- Thread: DHIMA YA MHAKIKI WA FASIHI (/showthread.php?tid=1714)
|
DHIMA YA MHAKIKI WA FASIHI - MwlMaeda - 12-12-2021
- Kuchambua na kuweka wazi funzo litolewalo na kazi ya fasihi.
- Kuchambua na kufafanua taswira (picha za kisanii) zilizotumika katika kazi ya mwandishi.
- Kumshauri na kumtia moyo mwandishi ili afanye kazi bora zaidi (hivyo mhakiki pia ni mwalimu wa mwandishi)
- Kumwelekeza na kumchochea msomaji kusoma na kupata faida zaidi ya ambayo angeipata pasipo dira ya mhakiki (mhakiki ni mwalimu na daraja kati ya mwandishi na jamii)
- Kuhimiza na kushirikisha fikra za kihakiki katika kazi za fasihi.
- Kukuza kiwango cha utunzi na usomaji wa kazi za fasihi.
- Kutafuta na kuweka sawa nadharia za fasihi teule.
- Kuthamini na kuheshimu kazi za waandishi kwa kuzitendea haki
|