MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

ETIMOLOJIA YA NENO ' MAAKULI' - Printable Version
|

+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=16)
+--- Thread: ETIMOLOJIA YA NENO ' MAAKULI' (/showthread.php?tid=1693)
|
ETIMOLOJIA YA NENO ' MAAKULI' - MwlMaeda - 12-08-2021
HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO ' MAAKULI'.
Neno *maakuli* katika lugha ya Kiswahili ni nomino yenye maana zifuatazo:
1. Kitu kinachopikwa na kuliwa na kumfanya mtu aishi; chakula cha aina yoyote.
2. Aina mbalimbali za vyakula.
Katika lugha ya Kiarabu, neno hili *maakuli* ( **maakuulun/maakuulan/maakuulin* *ماكول/ماكولا* ) lina maana zifuatazo:
1. Jina la mtendewa wa kitenzi cha Kiarabu cha wakati uliopita *fiilun maadwin* *فعل* *ماض* *akala* *اكل* *(amekula)*;chenye kuliwa, kiliwacho. Wingi wake ni neno *maakulaat* *مأكولات* pia *ma-aakil مآكل* .
2. Chakula chochote kile.
Kinachodhihiri ni kuwa neno hili ( *maakuli*/ * *ماكول* ) lilipoingia katika lugha ya Kiswahili maana yake katika lugha yake ya asili - Kiarabu haikubadilika.
*Shukran sana.*
*Khamis S.M. Mataka.*
|