MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

MATUMIZI YA PO NA JI - Printable Version
|

+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Sarufi na Utumizi wa lugha (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=9)
+--- Thread: MATUMIZI YA PO NA JI (/showthread.php?tid=1649)
|
MATUMIZI YA PO NA JI - MwlMaeda - 12-03-2021
PO ya Mahali
1. Mahali alipoanguka paliacha kuota nyasi.
2. Hapo ndipo tulipoketi. Jumapili ifikapo tutakwenda Kisetoni.
PO ya Wakati
1. Nilipomlilia aliisikia sauti ya dua langu.
2. Kitumbua kilipikwa mayai yalipoletwa.
3. Zitakaporudishwa tutazificha mbali.
PO ya Hisia (Hasira)
1. Umenikosea sana! Po! Utakiona cha mtema kuni.
Matumizi ya JI
1. Kuunda nomino kutokana na kitenzi.
1. sema => msemaji.
2. kimbia => mkimbiaji
Kuonesha Ukubwa
1. Jikapu lile lina jitunda kubwa.
2. Jito lile limemeza watu wengi.
Kuonesha mtendaji anapokuwa mtendewa (kujitenda, kujitendea)
1. Amejikwaa kidole cha kati.
2. Kitabu kimejifungua chenyewe.
|