KIDATO CHA PILI: UTATA KATIKA MAWASILIANO - Printable Version +- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz) +-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1) +--- Forum: Sekondari (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=4) +---- Forum: Kidato cha kwanza (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=28) +----- Forum: Nukuu (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=29) +----- Thread: KIDATO CHA PILI: UTATA KATIKA MAWASILIANO (/showthread.php?tid=1637) |
KIDATO CHA PILI: UTATA KATIKA MAWASILIANO - MwlMaeda - 12-02-2021 Utata katika Mawasiliano
Utata ni hali ya neno au sentensi kuwa na maana zaidi ya moja. Kwa hiyo tungo tata ni tungo ambayo inaweza kuwa na maana zaidi ya moja.Sababu za Utata Elezea Sababu za Utata Utata katika tungo hutokea kwa sababu zifuatazo:
Mfano:
Mifano ya utata katika tungo
Zifuatazo ni sababu za utata, isipokuwa: A Kutumia maneno ya picha B Neno kuwa na maana zaidi ya moja C kutumia maneno bila kuzingatia muktadha husika D Umahiri wa lugha Neno ‘mbuzi’ ni tata, kwa sababu___ A Lina maana moja tu B Lina maana zaidi ya moja C Lina maana iliyofichika D Ni neno la Kiswahili Utata unaojitokeza katika mazungumzo pekee husababishwa na nini? A Mjengo wa maneno B Maana zaidi ya moja katika neno C Utamkaji wa maneno D Kutozingatia taratibu za uandishi Utata katika matumizi ya vitenzi kama vile ‘pigia’ husababishwa na___ A Neno kuwa na maana zaidi ya moja B Utamkaji wa neno C Kutozingatia taratibu za uandishi D Mjengo wa neno “Juma ametumwa na Rama” Utata wa tungo hii ni wa kutozingatia nini? A Matumizi ya picha B Utamkaji wa maneno C Utumiaji wa neno wa katika muktadha wake D Taratibu za uandishi |