MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

UMUHIMU WA SARUFI KATIKA LUGHA - Printable Version
JIFUNZE KISWAHILI
UMUHIMU WA SARUFI KATIKA LUGHA - Printable Version

+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Sarufi na Utumizi wa lugha (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=9)
+--- Thread: UMUHIMU WA SARUFI KATIKA LUGHA (/showthread.php?tid=1614)

UMUHIMU WA SARUFI KATIKA LUGHA - MwlMaeda - 11-28-2021

UMUHIMU WA SARUFI KATIKA LUGHA (2)
Kwa ufupi
Kwa ufupi nimeeleza juu ya umuhimu wa kuzingatia misingi ya lugha katika matamshi, maumbo ya maneno, miundo ya lugha na maana za maneno katika lugha. Nisisitize kuwa dhana ya sarufi inaweza kutazamwa katika kuchambua lugha katika kiwango cha umbo sauti au fonolojia, umbo neno au mofolojia miundo maneno au sintaksia na umbo maana au semantiki.
Na. Stephen Maina
Katika makala yaliyotangulia nilieleza kwa muhtasari juu ya umuhimu wa kuimarisha sarufi ya Kiswahili kwa kuzingatia misingi ya Kiswahili. Ni lazima tufahamu kuwa suala la sarufi ni la msingi sana na hivyo hatuna budi kuielewa na hasa waliochangia kufanikisha uimarishaji wa sarufi ya Kiswahili. Kwa hiyo wadau na wapenzi wa lugha hii wanatakiwa kupata picha ya kazi kubwa iliyofanywa na wageni na hasa wamisionari wa kizungu waliamua kuandika vitabu na vijitabu kwa lengo la kuwahamasisha wadau na wapenzi wa Kiswahili wajifunze misingi ya lugha hii.  Mbali na wadau na wapenzi wa Kiswahili, viongozi wetu wa chama na serikali wanapaswa kutambua juhudi hizi na wakithamini kwa kutumia Kiswahili fasaha katika  shughuli zao za kila siku. Hii inawezekana kama kutakuwa na utashi wa dhati wa viongozi  wetu.
Kwa ufupi, baadhi ya waandishi wa mwanzomwanzo walioandika vitabu na majarida ya sarufi ya Kiswahili walikuwa ni Askofu Edward Steere aliyeandika kitabu cha Handbook of Swahili Language mwaka 1970. Baadaye waandishi wengine walikuwa ni A. Reichat na M. Kuestres ambao waliandika kitabu cha Elementary  Swahili Grammar mwaka 1926. Kitabu cha sarufi ya Kiswahili kiliandikwa mwaka 1930 na G.W.  Broomfield. Hiki ni kitabu ambacho ni pekee kimeandikwa kwa Kiswahili tofauti na wenzao walioandika sarufi ya Kiswahili kwa Kiingereza.
Mwandishi mwingine ni E.O. Ashtona liyeandika Kitabu cha Swahili Grammar mwaka 1940. Mwaka 1965 A. Longman aliandika kitabu cha  Swahili Grammar and Syntax na 1969 Joan Maw aliandika kitabu cha sentences in Swahili.
Kwa kipindi kirefu tangu miaka ya 1969 hadi miaka ya 1970 hakuna mwandishi yeyote wa vitabu vya sarufi ya Kiswahili aliyeandika kitabu cha sarufi ya Kiswahili hadi mwaka 1978 Padri F.M.V. Nkwera alipoandika kitabu cha Sarufi na Fasihi katika Sekondari na Vyuo.
Baada ya kitabu hicho cha Nkwera kuchapishwa mwaka 1978, hakukuwa na kitabu chochote kingine  cha sarufi ya Kiswahili kilichoandikwa hadi mwaka 1983 M.C. Kapinga alipoandika kitabu cha Sarufi Maumbo ya Kiswahili Sanifu kilichochapishwa na Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili (TUKI).
Kitabu ambacho kilifuatia ni kile cha Sarufi Mpya kilichoandikwa na Mohamed A. Mohamed mwaka 1988.
Pamoja na juhudi hizi za kuandika vitabu, bado maendeleo ya Kiswahili hayajapiga hatua ya kimaendeleo. Kwa nini hali hii imetokea katika taifa letu lenye sifa kubwa ya matamko mengi ya viongozi wetu kuhusu haja ya kutumia Kiswahili katika shughuli za kila siku? Kinachotakiwa kufanywa ni uimarishwaji wa mafunzo katika mitalaa ya lugha kuanzia kiwango cha chini cha mafunzo ya awali, shule za misingi, sekondari na vyuo kwa kuzingatia matamshi sahihi, miundo sahihi ya maneno, mpangilio wa maneno katika sentensi ambayo yanaleta maana inayokusudiwa.

Stephenjmaina1965@yahoo.com