MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

7 JULAI SIKU YA KISWAHILI DUNIANI - Printable Version
JIFUNZE KISWAHILI
7 JULAI SIKU YA KISWAHILI DUNIANI - Printable Version

+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Je, wajua ? (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=71)
+--- Thread: 7 JULAI SIKU YA KISWAHILI DUNIANI (/showthread.php?tid=1500)

7 JULAI SIKU YA KISWAHILI DUNIANI - MwlMaeda - 11-17-2021

Kwa  taarifa zaidi ni kwamba leo,  pendekezo na azimio lililowasilishwa na Jamhuri ya Muungano ya Tanzania  ya kuwa na Siku ya Kiswahili Duniani itakayosherehekewa kila  tarehe 7 Julai ya kila mwaka, imepitiswa  na Kamisheni ya Masuala ya Utawala, Fedha na Mahusiano ya Kimataifa (The APX Commission). Hivyo, tunasubiri  ipitishwe katika Plenary ya Mkutano Mkuu mwezi huu mwishoni ambayo itatoa  Azimio.

Habari za kutia moyo. Leo UNESCO imepitisha tarehe 7 Julai kuwa ni  siku ya Kiswahili Duniani.

Ni mwanzo mzuri kwa Kiswahili Kimataifa. Baadaye tunaweza kupata wakalimani kwenye vikao vya kimataifa nasi kuwasilisha masuala Kwa Kiswahili!!!

RE: 7 JULAI SIKU YA KISWAHILI DUNIANI - MwlMlela - 11-20-2021

Safi sana. Kiswahili kinazidi kuwa na mashiko. Sisi ni nani hata tusikitumie kufundishia?