MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

SWALI: Taja changamoto zinazoikabili fasihi simulizi kutokana na maendeleo ya sasa - Printable Version
JIFUNZE KISWAHILI
SWALI: Taja changamoto zinazoikabili fasihi simulizi kutokana na maendeleo ya sasa - Printable Version

+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Sekondari (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=4)
+---- Forum: Kidato cha tano na sita (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=44)
+----- Forum: Maswali na majibu (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=47)
+----- Thread: SWALI: Taja changamoto zinazoikabili fasihi simulizi kutokana na maendeleo ya sasa (/showthread.php?tid=15)

SWALI: Taja changamoto zinazoikabili fasihi simulizi kutokana na maendeleo ya sasa - MwlMaeda - 06-14-2021

MAJIBU:
  • Kutoweka kwa mawasiliano ya ana kwa ana baina ya fanani na hadhira.

  • Vitendo vya fanani na hadhira havionekani (kufifia kwa uhai na uhalisia wa fasihi simulizi)

  • Kupungua kwa hadhi, ubora, ladha na mvuto wa kazi ya fasihi simulizi.

  • Hupunguza na kubagua hadhira kutokana na njia za uhifadhi na uwasilishaji.

  • Kupunguza uwezo wa fanani kuhifadhi kazi za fasihi simulizi kichwani.

  • Huzuia mabadiliko ya papo hapo

  • Huingiza gharama kutokana na gharama za uandaaji na uhifadhi

  • Huwa mali ya mtunzi badala ya jamii nzima

RE: SWALI: Taja changamoto tano zinazoikabili fasihi simulizi kutokana na maendeleo ya sa - MwlMlela - 06-20-2021

hadhira huwa tuli hasa ikihifadhiwa kwa maandishi

(06-14-2021, 07:02 PM)MwlMaeda Wrote: MAJIBU:
  • Kutoweka kwa mawasiliano ya ana kwa ana baina ya fanani na hadhira.

  • Vitendo vya fanani na hadhira havionekani (kufifia kwa uhai na uhalisia wa fasihi simulizi)

  • Kupungua kwa hadhi, ubora, ladha na mvuto wa kazi ya fasihi simulizi.

  • Hupunguza na kubagua hadhira kutokana na njia za uhifadhi na uwasilishaji.
  • uwasilishaji wake huwa wa muda mrefu kutokana na maandalizi yake.