MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

Kamusi sanifu ya Biolojia, Fizikia na Kemia - Printable Version
JIFUNZE KISWAHILI
Kamusi sanifu ya Biolojia, Fizikia na Kemia - Printable Version

+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Tafsiri na Ukalimani (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=10)
+--- Thread: Kamusi sanifu ya Biolojia, Fizikia na Kemia (/showthread.php?tid=1408)

Kamusi sanifu ya Biolojia, Fizikia na Kemia - MwlMaeda - 10-31-2021

KSBFK ni kifupi cha "Kamusi sanifu ya Biolojia, Fizikia na Kemia" iliyoandaliwa na wataalamu wa TUKI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 1990 chini ya uhariri mkuu wa David P.B. Massamba.
Kamusi hii inakusanya maneno ya kisayansi kwa utaratibu ufuatao:
Mwishowe kuna jedwali la elementi ya kikemia.
Kamusi hii ilichapishwa upya mwaka 2004 na mwaka 2012.
Si rahisi kuipata katika maduka ya vitabu lakini inapatikana katika duka la TATAKI jinsi TUKI inaitwa siku hizi. Mada inafana kiasi na ile ya kamusi Awali wa Sayansi na Teknolojia (KAST) lakini wala istilahi wala tahajia hazilingani sawa.