SHAIRI: NAKWENDA KUOA SOMALIA - Printable Version +- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz) +-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1) +--- Forum: Fasihi simulizi (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=6) +---- Forum: Ushairi (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=50) +---- Thread: SHAIRI: NAKWENDA KUOA SOMALIA (/showthread.php?tid=1355) |
SHAIRI: NAKWENDA KUOA SOMALIA - MwlMaeda - 10-23-2021 NAKWENDA KUOA SOMALIA Imenisha hamu Wala Sina gamu Mwenzenu Sina hamu kuoa Tanzania Wanawake Tanzania wamenishinda tabia NAKWENDA KUOA SOMALIA , Wanawake Tanzania Wamenishinda tabia Kwanza si wazuri, Hawanukii uturi Asubuhi kiguu na njia Mbagala mpaka buza Akiamka asubuhi Umeme umemwishia Simu atakupigia Madeni umlipie Vikoba vimemkaba Wanaume kawapanga NAKWENDA KUOA SOMALIA,si Nyumbani Tanzania Hawana Mahaba Hawajafunzwa kwa Baba Wewe atakuhadaa Kwa Mapenzi ya dagaa Vumbi limewajaa Mpaka nyota ya jaha NAKWENDA KUOA SOMALIA ,si Nyumbani Tanzania Ndoa zipo Somalia Siyo nyumbani Tanzania Wanawake hawana Nia Linawanukia jasho Na uvundo pia NAKWENDA KUOA SOMALIA ,si nyumbani Tanzania . Kutana na Hadija,mery na Rukia Kifuani watakurukia Wakijinadi wanajua Mapenzi wanaigiza Mbele Kuna Giza ,kumbe yupo Na Juma,hamadi na Swalehe Nakwenda kuoa Somalia,si Nyumbani Tanzania . Naoa Somalia Wanawake wamefundwa, Wao hawana inda, Ujue wameundwa Malegevu mato yao Nyenyekevu sauti zao nakwenda kuoa Somalia ,si Nyumbani Tanzania . Uturi wananukia Mapenzi wanayajua Maungo wamejisitiri Leo nawapa Siri Oeni wasomali Nakwenda kuoa Somalia ,si Nyumbani Tanzania Kalamu naweka tini Hemed nashika hatam Msishike zangu salamu, Naoa msomali, Simu zangu nipigie ,Kama wewe msomali Nakutajia uzishike..0655 250157 https://www.instagram.com/p/CVUxxDIq5WE/?utm_medium=share_sheet |