MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

SHAIRI: WALIMU NI MUHIMU - Printable Version
JIFUNZE KISWAHILI
SHAIRI: WALIMU NI MUHIMU - Printable Version

+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Fasihi simulizi (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=6)
+---- Forum: Ushairi (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=50)
+---- Thread: SHAIRI: WALIMU NI MUHIMU (/showthread.php?tid=1297)

SHAIRI: WALIMU NI MUHIMU - MwlMaeda - 10-05-2021

WALIMU NI MUHIMU

Tunawaheshimu walimu!
Tunawajali walimu!
Tunawapenda walimu
Tunawashukuru walimu!
Tunawathamini walimu!
WALIMU NI MUHIMU.

Hakuna Wanasheria bila Mwalimu!
Hakuna Wahandisi bila Mwalimu!
Hakuna Wanahabari bila Mwalimu!
Hakuna Madaktari bila Mwalimu!
Hakuna Marais bila Mwalimu!
WALIMU NI MUHIMU.

Mlitufundisha!
Mlituelimisha
Mlitufurahisha!
Mlituhamasisha!
Mlituheshimisha!
WALIMU NI MUHIMU.

Mbarikiwe na Mungu Walimu!
Mlipwe na Mungu Walimu!
Muwe na maisha mema Walimu!
Tunawaombea daima mema Walimu!
Tunafurahia leo Siku ya Walimu!
WALIMU NI MUHIMU.

#Issaya Lupogo#
05/10/2021

RE: SHAIRI: WALIMU NI MUHIMU - John John - 10-05-2021

(10-05-2021, 01:25 PM)MwlMaeda Wrote: WALIMU NI MUHIMU

Tunawaheshimu walimu!
Tunawajali walimu!
Tunawapenda walimu
Tunawashukuru walimu!
Tunawathamini walimu!
WALIMU NI MUHIMU.

Hakuna Wanasheria bila Mwalimu!
Hakuna Wahandisi bila Mwalimu!
Hakuna Wanahabari bila Mwalimu!
Hakuna Madaktari bila Mwalimu!
Hakuna Marais bila Mwalimu!
WALIMU NI MUHIMU.

Mlitufundisha!
Mlituelimisha
Mlitufurahisha!
Mlituhamasisha!
Mlituheshimisha!
WALIMU NI MUHIMU.

Mbarikiwe na Mungu Walimu!
Mlipwe na Mungu Walimu!
Muwe na maisha mema Walimu!
Tunawaombea daima mema Walimu!
Tunafurahia leo Siku ya Walimu!
WALIMU NI MUHIMU.

#Issaya Lupogo#
05/10/2021
Mungu awabariki walimu