SHAIRI KATIKA ALFABETI - Printable Version +- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz) +-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1) +--- Forum: Fasihi simulizi (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=6) +---- Forum: Ushairi (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=50) +---- Thread: SHAIRI KATIKA ALFABETI (/showthread.php?tid=1294) |
SHAIRI KATIKA ALFABETI - MwlMaeda - 10-05-2021 A - Z A = Asubuhi na mapema, nimetoka singizini, B = Basi nageuka nyuma, Kuna watu ukumbini, C = Chukua khanga ya mama, nawewe ukae chini, D = Dada ako na Salima,, pia wako mkekani, E = Eva yule wa Dodoma, wanataka form one, F = Fatuma ila kasema, tuwaweke Mivumoni, G = Gari yako ile Hama, mafuta tukawekeni, H = Haiko mbali nasema, hapo tuu Kinondoni, I = Ikiwa mwataka soma, pate division one, J = Jitihada - kujituma, nidhamu i mkononi, K = Kufika utasimama, Manynya ya Kinondoni, L = Lipo soko pale nyuma, na watu waulizeni, M = Mbali nyie mnasema, Hosteli ni za nini, N = Nawaonea huruma, naweza wapelekeni, O = Oneni mkitizama, matokeo - mitihani, P = Popote utaposoma, Mivumoni namba wani, Q = Qassim wa Shuburuma, Murshidi yupo ndani, R = Rahisi ada nasema, pia elimu ya dini, S = Soma jina la karima, waelezwa vitabuni, T = Taratibu tunasoma, haraka yote ya nini, U = Unguja Hadi Kahama, wote kuja Mivumoni, V = Vingi sana nimesema, kuihusu Mivumoni, W = Watu wenye makarama, wanetuli mjengoni, X = Xhow Xhow tunasema, sikusudii uhuni, Y = Ya karimu akrama, kingine utupe nini, Z = Zaidi ya mafhama, yatukae ya mwishoni. MAWASILIANO: #+255654475612 #+255787166621 By Hussein Mussa Juma https://www.instagram.com/p/CUnIizOjY2r/?utm_medium=share_sheet |