MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

UMUHIMU WA USANIFISHAJI - Printable Version
|

+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Maendeleo ya Kiswahili (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=11)
+--- Thread: UMUHIMU WA USANIFISHAJI (/showthread.php?tid=1162)
|
UMUHIMU WA USANIFISHAJI - MwlMaeda - 09-06-2021
- Ili kuwe na lahaja moja rasmi kati ya hizo nyingi ya kutumiwa.
- Kuwe na hati moja rasmi ya kutumia katika maandishi ya Kiswahili (kirumi au kairabu-kiswahili hutumia hati za kirumi)
- Ili kuwe na lugha wastani ya kutumiwa katika tafsiri za maandishi k.m kutafsiri biblia
- Husawazisha maandishi ya kitaaluma yaliyokuwepo na kuandika kanuni za lugha – sarufi
- Kuwe na lugha moja ya kiutawala
- Kuwe na lugha moja ya kujifunza
- Kuwe na lugha moja ya kutumia katika elimu
- Kuwe na lugha moja ya kukuzwa
|