MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

TAKILUKI : TAASISI YA KISWHILI NA LUGHA ZA KIGENI - Printable Version
|

+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Maendeleo ya Kiswahili (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=11)
+--- Thread: TAKILUKI : TAASISI YA KISWHILI NA LUGHA ZA KIGENI (/showthread.php?tid=1147)
|
TAKILUKI : TAASISI YA KISWHILI NA LUGHA ZA KIGENI - MwlMaeda - 09-06-2021
Taasisi hii iliundwa mwaka 1979 ikiwa chini ya Wizara ya Elimu na Mafuzo ya Amali Zanzibar.
Lengo kubwa ya kuanzishwa taasisi hii ni :Kusimamia na kuendeaha shughuli za ukuzaji wa kiswahli na lugha za kigeni kisiwani humo.
KAZI ZA TAKILUKI:
- Kutoa mafunzo na elimu ya Kiswahili kwa kiwango cha juu kwa watumishi wa serikali na viongozi wa chama ua vyama ili kukuza ujuzi wa Kiswahili na kuzumgumza Kiswahili fasaha
- Kufanya utafiti wa Kiswahili , kuandika vitabu vya taaluma mbali mbali za Kiswahili na kutafsiri katika kisahili maandishi mbali mbali yaliyo katika lugha za kigeni.
- Kuhimiza matumizi ya Kiswahili fasaha , kuchapisha vitabu vya Kiswahili na kuwapa waandishi chipukizi miongozo ya uandishi sahihi wa vitabu.
- Kuratibu na kusimamia maendeleo ya Kiswahili visiwani Zanzibar pamoja na kuendesha mafunzo ya lugha ya Kiswahili kwa wazawa na wageni
- Kuandaa isitalahi za taaluma mbali mbali pamoja na kutoa huduma za tafsiri na ukalimani kwamashirika ,idara wizara kampuni,na watu binafsi , pia hufundisha lugha za kigeni kama vele GR, PR FR ARB CHINA na kuandika vitabu vya Kiswahili.
- Hujishughulisha na ufuatiliaji pamoja na usimamizi wa matumizi sahihi ya Kiswahili katika vyombo vya habari katika shughuli mbali mbali za serkali na za kawaida.
- Kufanya utafiti wa lahaja na fasihi simulizi ya Kiswahili.
MAFANIKIO YA TAKILUKI.
Takiluki imepata mafanikio kadhaa yakiwemo haya yafutayo:
- Kuchapisha vitabu mbali mbali vya Kiswahili kama vile malenga wapya, na tungo zakale.
- Kuandaa na kuendesha semina na makongamano mbali mbali ya Kiswahili.
- Kuhimiza ufundishaji wa Kiswahili visiwani Zanzibar.kushirikiana na vyombo mbali mbali vyaukuzaji lugha ya Kiswahili katika kutekeleza mipango mbali mbali ya ukuzaji Kiswahili.
|