MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

ATHARI YA WAARABU KATIKA LUGHA YA KISWAHILI - Printable Version
JIFUNZE KISWAHILI
ATHARI YA WAARABU KATIKA LUGHA YA KISWAHILI - Printable Version

+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Maendeleo ya Kiswahili (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=11)
+--- Thread: ATHARI YA WAARABU KATIKA LUGHA YA KISWAHILI (/showthread.php?tid=1134)

ATHARI YA WAARABU KATIKA LUGHA YA KISWAHILI - MwlMaeda - 09-03-2021

Athari ya kwanza ni katika matamshi kutokana na mwingiliano wa Waarabu na wenyeji wa Pwani ya Afrika Mashariki wenyeji walianza kutamka maneno ya kiswahili kwa lafudhi ya Kiarabu.
Mfano
Kiarabu Akhante kiswahili asante
Kiarabu Maalim Kiswahil Mwalimu
Msamiati Kutokana na mwingiliano wa Waarabu na Waswahili wa Pwani ya Afrika Mashariki Waarabu waliingiza Msamiati wa Kiarabu kwa asilimia 31.
Mfano:
Kiarabu shukran
Kiswahil shukurani Kiarabu khatibu
Kiswahil Katibu
Kiswahil kuhusishwa na dini ya Kiislamu Waarabu walitumia lugha ya Kiswahili na Kiarabu katika kueneza uislamu katika sehemu za Pwani ya Afrika Mashariki na wenyeji hawa ndio wazungumzaji wazuri wa lugha hii ya Kiswahili. Hivyo basi wenyeji wa bara hawakukipokea Kiswahili kwa moyo mmoja wakidhani kuwa Kiswahili ni lugha ya Waislamu.
Kiswahili hakikuwekwa katika maandishi, Waarabu hawakukiweka Kiswahili katika maandishi.
Waarabu walichangia sana kukidumaza Kiswahili kutokana na ukatili wao. Watu walichukia Waarabu na kukichukia Kiswahili hasa sehemu za bara ambapo watumwa walikuwa wakichukuliwa.

RE: ATHARI YA WAARABU KATIKA LUGHA YA KISWAHILI - MwlMlela - 02-28-2022

Nukuu nzuri sana