NAFASI YA KISWAHILI KATIKA NCHI ZA SADC - Printable Version +- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz) +-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1) +--- Forum: Maendeleo ya Kiswahili (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=11) +--- Thread: NAFASI YA KISWAHILI KATIKA NCHI ZA SADC (/showthread.php?tid=1129) |
NAFASI YA KISWAHILI KATIKA NCHI ZA SADC - MwlMaeda - 09-03-2021 Maendeleo ya lugha ya Kiswahili Afrika na duniani kwa sasa ni makubwa sana kiasi cha kutosha kujivunia. Mtazame na kumsikiliza hapa Prof. Aldin Mutembei akifafanua nafasi ya Kiswahili katika nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika (SADC).
|