JINSI YA KUJIBU MASWALI YA SEHEMU B : MATUMIZI YA SARUFI NA UTUMIZI WA LUGHA - Printable Version +- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz) +-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1) +--- Forum: Sekondari (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=4) +---- Forum: Kidato cha tano na sita (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=44) +----- Forum: Maswali na majibu (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=47) +----- Thread: JINSI YA KUJIBU MASWALI YA SEHEMU B : MATUMIZI YA SARUFI NA UTUMIZI WA LUGHA (/showthread.php?tid=1102) |
JINSI YA KUJIBU MASWALI YA SEHEMU B : MATUMIZI YA SARUFI NA UTUMIZI WA LUGHA - MwlMaeda - 09-02-2021 JINSI YA KUJIBU MASWALI YA SEHEMU B : MATUMIZI YA SARUFI NA UTUMIZI WA LUGHA
MAJIBU (i) Kishirikishi –li- Mfano:
(iv) Umbo –ki- – Kisu ki kikali – Kisahani ki kidogo (v) Umbo –ndi- ambalo haliwezikusimama peke yake bali huambishwa kirejeshi kulingana na nomino husika. – Tumaini ndiye mkubwa – Watoto ndio wakorofi – Ndizi ndizo mbivu (vi) Umbo –ngali-
(vii) Umbo –si- (huongezwa kiambishi rejeshi kulingana na nomino husika.
(viii) Umbo –kuna-/ – hakuna-
Sifa za kishazi tegemezi – Hakitoi taarifa kamili bila kuambatana na kishazi huru Mfano:
Mfano:
– Huweza kufutwa katika sentensi bila kuathiri maana Mfano:
– Huweza kutokea kabla au baada ya kishazi huru
3. Kwa kutoa mifano miwili kwa kila kazi bainisha kazi tano za “kwa” katika tungo za Kiswahili. MAJIBU
4. Nini maana ya mtindo wa lugha ya kiofisi/kikazi? Fafanua kwa mifano sifa nne (4) za mtindo wa lugha ya kiofisi/kikazi. MAJIBU
|