MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

MASWALI NA MAJIBU- 10: DARASA LA 3 & 4 - Printable Version
|

+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Shule ya Msingi (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=62)
+---- Forum: Maswali na majibu (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=65)
+---- Thread: MASWALI NA MAJIBU- 10: DARASA LA 3 & 4 (/showthread.php?tid=1069)
|
MASWALI NA MAJIBU- 10: DARASA LA 3 & 4 - MwlMaeda - 08-30-2021
MASWALI NA MAJIBU- 10: DARASA LA 3 & 4
SEHEMU A: Andika neno linaloonesha mtendaji
Kitendo Mtendaji
- Vua samaki …………………
- Jenga nyumba …………………
- Suka nywele …………………
- Fuga mifugo …………………
- Pika chakula …………………
SEHEMU B: Chagua herufi ya jibu sasa
- Kila siku nina amka…………..ili kufanya usafi
(a) alasiri (b) alfajiri © jioni
- …………..yashule yetu ni shati jeupe na sketi ya bluu.
(a) vazi (b) sare © rangi
- Wakulima huhifadhi mazao yao katika…………
(a) duka (b) ghala © shamba
- Kibogoyo ni mtu…………..
(a) asiye na macho (b) ambaye ni mvivu © asiye na meno
- Baba anafanya kazi inayompatia……………kikubwa.
(a) mapato (b) kipato © jasho
SEHEMU C: Methali, vitendawili na nahau
- Mwenda pole…………………..
- Kupata jiko…………………….
- Kipara cha babu kinafuka moshi……………
- Baada ya dhiki……………………..
SEHEMU D: Umoja na Wingi
Umoja Wingi
- Tongotongo ……………………..
- …………… vichaka
- Mlemavu ………………………
SEHEMU E: Kinyume cha maneno
- Panda…………………………
- Usiku…………………………
- Chota…………………………
SEHEMU F: Andika wakati uliotumika
- Mama alipika ugali…………………..
- Watoto wanacheza mpira…………….
- Shangazi atapata maua………………..
SEHEMU G: Pigia mstari neno lililotofauti na mengine
- Nanasi, papai, samaki, topetope
- Mbuzi, ng’ombe, kondoo, mjusi
MAJIBU
- Mvuvi
- Mwashi
- Msusi
- Mfugaji
- Mpishi
- B
- B
- B
- C
- B
- Hajikwai
- Kuoa
- Ugali
- Faraja
- Matongotongo
- Kichaka
- Walemavu
- Shuka/vuna
- Mchana
- Mwaga
- Uliopita
- Uliopo
- Ujao
- Samaki
- Mjusi
|