BAADHI YA RIWAYA ZA KISWAHILI ZILIZOVUMA SANA TANZANIA (1) - Printable Version +- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz) +-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1) +--- Forum: Fasihi andishi (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=7) +---- Forum: Riwaya (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=52) +---- Thread: BAADHI YA RIWAYA ZA KISWAHILI ZILIZOVUMA SANA TANZANIA (1) (/showthread.php?tid=1031) |
BAADHI YA RIWAYA ZA KISWAHILI ZILIZOVUMA SANA TANZANIA (1) - MwlMaeda - 08-27-2021 Leo tujikumbushe baadhi ya Riwaya za Kiswahili zilizovuma sana Tanzania. 1.Siku ya Watenzi wote (1968) Shaaban Robert 2.Nyota ya Rehema (1978) M.S Mohamed 3.Dunia Mti Mkavu (1980) Said A.Mohamed 4.Rosa Mistika (1971) E.Kezilahabi 5.Alipanda Upepo Akavuna Tufani (1969) John N.Somba 6.Titi la Mkwe (1972) Alex Banzi 7.Kasri ya Mwinyi Fuad (1979) Shafi Adam Shafi 8.Kichwa Maji (1974)E.Kezilahabi 9.Kiu (1972)M.S.Mohamed 10.Tata za Asumini (1990)Said Ahmed Mohamed 11.Kifo cha Ugenini (1977)Olaf Msewa 12.Kaburi bila Msalaba (1971)M.Kareithi 13.Kuli (1976)Shafi Adam Shafi 14.Kwa Heri Iselamagazi (1992)B.Mapalala 15.Wimbo wa Sokomoko (1990)A.Lihamba 16.Ngome ya Mianzi (1991)M.M.Mulokozi 17.Ngoma ya Mianzi (1992)M.M.Mulokozi 18.Miradi Bubu ya Wazalendo (1992)G.Ruhumbika 19.Dunia Uwanja wa Fujo (1975)E.Kezilahabi 20.Adili na Nduguze (1952)Shabaan Robert 21.Kusadikika (1951)Shabaan Robert 22.Lila na Fila (1966)J.K.Kiimbila 23.Mbojo Simba-Mtu (1971)N.J.Kuboja 24.Mirathi ya Hatari (1977)C.Mung’ong’o 25.Nagona (1987)E.Kezilahabi 26.Mzingile (1991)E.Kezilahabi 27.Mafuta (1984)K.G.C.Mkangi 28.Mwisho wa Mapenzi (1972)Simbamwene J. 29.Kweli Unanipenda? (1978)Simbamwene J. 30.Jeraha la Moyo (1974)Kiango,S.D 31.Pete (1978)Komba,S.M 32.Kwa Sababu ya Pesa (1972)Simbamwene J. 33.Buriani (1975)F.Katalambula 34.Mtu Mwenye Miwani Meusi (1970)L.O.Omolo 35.Kifo Changu ni Fedheha (1972)S.J.Chadhoro 36.Tabu (1977)A.Komanya 37.Ufunguo wa Bandia (1979)Hmmie Rajab 38.Kikomo (1980)E.Musiba 39.Mzimu wa Watu wa Kale (1960)M.S.Abdulla 40.Kisima cha Giningi (1968)M.S.Abdulla 41.Duniani kuna Watu (1973)M.S.Abdulla 42.Siri ya Sifuri (1974)M.S.Abdulla 43.Mwana wa Yungi Hulewa (1976)M.S.Abdulla 44.Kosa la Bwana Msa (1984)M.S.Abdulla 45.Simu ya Kifo (1965)F.Katalambula 46.Muuaji ni nani? (1987)Simbamwene J. 47.Dimbwi la Damu (1984)Ben Mtobwa 48.Kijasho Chembamba (1980)Ganzel 49.Kikosi Cha Kisasi (1979)E.Musiba 50.Njama (1981)E.Musiba 51.Mpango (1982)K.M.Kassam 52.Tutarudi na roho Zetu? (1987)B.Mtobwa 53.Roho Mkononi (1984)Hammie Rajab |