MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

JIFUNZE KISWAHILI - TOFAUTI YA TUNGO NA SENTENSI

JIFUNZE KISWAHILI

Full Version: TOFAUTI YA TUNGO NA SENTENSI
You're currently viewing a stripped down version of our content. View the full version with proper formatting.
Tofauti ya tungo na sentensi.
1. Rejea maana zake
2.Rejea aina zake. Tungo zipo nne, neno, kirai,kishazi na sentensi. Sentensi zipo nne (wengine wanasema tatu, kwa kuchanganya changamano na shurutia, rejea TUKI- SAMIKISA ukurasa wa 153, rejea pia Darubini ya Sarufi, Ufafanuzi Kamili wa Sarufi, Assumpta K. Mtei, ukurasa wa 239) kimazoea ni sahili, changamani, ambatani na shurutia.
3. Sentesi sharti ilete maana kamili, si kila tungo inaleta maana kamili
4. Sentensi huonesha hali na kauli mbalimbali, si kila tungo huonesha hali na kauli
5. Sentensi ina kiima na kiarifu lakini si kila tungo ina muundo huo.
Kufanana kwake.
1. Vyote ni vipashio vya lugha.
2. Vyote huundwa kwa kufuata taratibu za kisarufi
3. Vyote huundwa na maneno ambayo huundwa na silabi ambazo huundwa na fonimu