MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

JIFUNZE KISWAHILI - MTOTO MWENYE KIPAJI CHA AJABU BINGWA WA METHALI MTAZAME

JIFUNZE KISWAHILI

Full Version: MTOTO MWENYE KIPAJI CHA AJABU BINGWA WA METHALI MTAZAME
You're currently viewing a stripped down version of our content. View the full version with proper formatting.
Methali za lugha ya Kiswahili ni moja ya vipengele vya semi vinavyowasumbua watumiaji wengi wa lugha hii. Pengine ni kutokana na kutojizowesha kuzitumia methali hizo katika mazingira yetu ya kila siku. Hapa chini kuna video ya mtoto mwenye takribani miaka minne au pungufu lakini mwenye uwezo mkubwa wa kuzisema methali.

BOFYA HAPA KUTAZAMA >>>>>