MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

JIFUNZE KISWAHILI - MWONGOZO WA MAFUNZO KAZINI KWA WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI SOMO LA KISWAHILI

JIFUNZE KISWAHILI

Full Version: MWONGOZO WA MAFUNZO KAZINI KWA WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI SOMO LA KISWAHILI
You're currently viewing a stripped down version of our content. View the full version with proper formatting.
MWONGOZO WA MAFUNZO KAZINI KWA WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI SOMO LA KISWAHILI

1.0 UTANGULIZI

Somo la Kiswahili ni miongoni mwa masomo ambayo yameonekana kuwa na changamoto katika mchakato wa ufundishaji na ujifunzaji. Katika kukabiliana na changamoto hizi Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kushirikiana na wadau mbalimbali wa elimu wamefanya jitihada za kuandaa miongozo ya masomo mbalimbali ikiwa ni pamoja na mwongozo wa Ufundishaji wa Walimu Kazini wa Somo la Kiswahili.
Mwongozo huu umeandaliwa ili kuweza kuziba mapengo ya ufundishaji na ujifunzaji wa baadhi ya mada za somo la Kiswahili kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne. Mwongozo umekusudiwa kutumika katika mzunguko wa kwanza kwa mafunzo ya walimu wa sekondari wa somo la Kiswahili.
BOFYA HAPA CHINI KUSOMA YOTE>>>>>>>>>>

[attachment=482]