MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

JIFUNZE KISWAHILI - UANDISHI WA KAZI MRADI (PROJEKTI)

JIFUNZE KISWAHILI

Full Version: UANDISHI WA KAZI MRADI (PROJEKTI)
You're currently viewing a stripped down version of our content. View the full version with proper formatting.
Wakati wa kuandika kazi mradi (projekti) zingatia vipengele vifuatavyo:
  1. Kutambua mada

  2. Kutembelea eneo la kufanyia kazi mradi.

  3. Kusoma mapitio ya tafiti au marejeleo mbalimbali kuhusu mada unayotaka kuifanyia kazi mradi.

  4. Kupanga ikiwa ni pamoja na kuteua mbinu za kukusanya taarifa au data.

  5. Kutengeneza mabunio ya kazi mradi.

  6. Kukusanya data

  7. Kutathmini au kujaribu mabunio

  8. Kuchambua data.

  9. Kuwasilisha data.

  10. Kuandika ripoti.