MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

JIFUNZE KISWAHILI - FAIDA ZA UUNDAJI WA MANENO

JIFUNZE KISWAHILI

Full Version: FAIDA ZA UUNDAJI WA MANENO
You're currently viewing a stripped down version of our content. View the full version with proper formatting.
FAIDA ZA UUNDAJI WA MANENO
  1. Kwa ajili ya matumizi ya kawaida ambayo huchukua sura mpya kila siku.
  2. Kwa ajili ya kuweza kutafsiri mengi kutoka lugha yako kwenda lugha ya kigeni au kutoka lugha ya kigeni kuingia katika lugha yako.
  3. Ili kupata msamiati unaokubalika na shughuli mahsusi kama vile benki, forodhani, Jeshini, nk.
  4. Kwa ajili ya matumizi ya utamaduni wa watu wa taifa hili au hata taifa jingine. Jambo la muhimu ni kuona msamiati wa Kiswahili unaendelezwa ili kukidhi haja ya watumiaji wa Kiswahili katika kupokea maingiliano ya fani mpya za utamaduni wa kigeni.
  5. Ili kukidhi msamiati wa masomo yote katika lugha yako, ambayo hapa ni Kiswahili.