JIFUNZE KISWAHILI

Full Version: KISWAHILI NA WASWAHILL
You're currently viewing a stripped down version of our content. View the full version with proper formatting.
KISWAHILI NA WASWAHILI

Kodoa macho na tega sikio umsikilize aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Usanifu wa Kiswahili na Ushairi Tanzania (UKUTA) Marehemu Mzee Salim bin Ali bin Hemed (Kibao) bin Abdallah bin Ali Albuhury ndugu halisi wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Usanifu wa Kiswahili na Ushairi Tanzania (UKUTA) Marehemu Sheikh Mohamed Ali Albuhury, akimwaga lulu za Kiswahili.
Safi sana. Historia Nzuri sana