JIFUNZE KISWAHILI

Full Version: SERA YA UTAMADUNI NA LUGHA
You're currently viewing a stripped down version of our content. View the full version with proper formatting.
Somo zuri sana
Somo zuri. Lakini naomba kufahamu kuhusu vipengele vya Sera ya lugha na utamaduni pamoja na umuhimu wa Sera hiyo ya lugha na utamaduni?
(02-05-2022, 09:50 AM)Khadija saidi Wrote: [ -> ]Some zuri. Lakini naomba kufahamu kuhusu vipengele vya Sera ya lugha na utamaduni pamoja na umuhimu wa Sera hiyo ya lugha na utamaduni?

Soma hapa pia utapata kitu >>>> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=2388
Nimejaribu kusoma lakini sifahamu vipengele vya sera hiyo ya lugha na utamaduni?