MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

ETIMOLOJIA YA NENO ' ADIA

Thread Rating:
  • 0 Vote(s) - 0 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
ETIMOLOJIA YA NENO ' ADIA
#1
HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO ' ADIA'

Neno *adia*[ *Ngeli: i-/zi-]* katika lugha ya Kiswahili ni nomino yenye maana ya: fedha au mali unayompa mtu kwa lengo la kumthamini au kuonesha upendo wako kwake.

Katika lugha ya Kiarabu, neno hili *adia* (soma: *hadiyyatun/hadiyyatan/hadiyyatin هدية)* ni nomino yenye maana zifuatazo:

1. Harusi.

2. Zawadi.

3. Upande wa uelekeo.

4. Njia; mwenendo wa maisha.

Kinachodhihiri ni kuwa neno *adia* ( *soma: hadiyyatun/hadiyyatan/hadiyyatin  هدية*) lilipoingia katika Kiswahili na kutoholewa kuwa neno *Adia* lilijifunga na ile maana ya 'fedha au mali unayompa mtu kwa lengo la kumthamini au kuonesha upendo wako kwake; zawadi, na kuziacha maana zingine za neno hili katika lugha ya Kiarabu.

*Shukran sana.*

*Khamis S.M. Mataka.*
Mwl Maeda
Reply

Forum Jump:

Users browsing this thread: 1 Guest(s)