SIMULIZI : CHOZI LA DHAHABU SEHEMU YA 16 - Printable Version +- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz) +-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1) +--- Forum: Fasihi simulizi (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=6) +---- Forum: Hadithi (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=48) +---- Thread: SIMULIZI : CHOZI LA DHAHABU SEHEMU YA 16 (/showthread.php?tid=912) |
SIMULIZI : CHOZI LA DHAHABU SEHEMU YA 16 - MwlMaeda - 08-19-2021 SIMULIZI : CHOZI LA DHAHABU SEHEMU YA 16
Nakwambia Hanunu sikuelewa hata yule mtu katokea wapi.Yaani nilijikuta sijui vipi tu Jamani. Yule jamaa akaja hadi kitandani pale akaanza kumwambia huyo mtu ambaye niko naye kitandani Kwamba "oya toka bana ni zamu yangu na mimi".Yaani nilijikuta nashangaa tu Hapo nikiwa uchi wa mnyama.
Mama yangu Kitunda kama ni Mimi ningezimia Mbona.
Weeee nakwambia eti kweli jamaa akatoka hapo ikawa ni kwakunilazimisha Sasa nifanye nae mapenzi, Yaani mda huo Kwakweli sijui nikwambiaje nilivyokuwa najihisi.
Mda huo huyo jamaa wa kwanza yuko Wapi?.
Katoka nje mda huo.kwanza kabla hajatoka nje akaniambia hivi kwamba" wewe siunapenda hela Sasa na huyo Hapo Tajiri mwingine. Kwani wewe unachotaka si Hela tu tunuka hapo wewe acha kulia lia wewe." Nakwambia Hanunu nilichanganyikiwa hapo Mbona. Yaani Huyo jamaa kaja hapo Ana miguvu ile mbaya akanishika.
Haaaaa Sasa Kitunda na wewe ukakubali kabisa?.
Sasa Hanunu unafikiri ningefanyaje Sasa.Yaani ulitaka nikatae?.
Ndiyo
Wewe Kwasababu hata ningekataa usiku ule ningeenda Kulala wapi,siyajui maeneo ya kule.wapi Sasa ningeenda unafikiri.Kwahiyo nakwambia yule jamaa kapiga hapo weeeeeeee hadi kamwaga mtoto wa watu najikaza tu Yaani huku pamewaka moto ile mbaya.Lakini tena baada ya mda kidogo akaja tena mwingine alipofikia kuja wa nne hivi nikaamua nipige ukunga weeeee niliona tu mlango unafunguliwa Ghafla yule jamaa wa kwanza ambaye ndiye aliyekuja kunichuku kaingia na pisto akaniambia hivi "Weee demu kama Unataka kuendelea kuona uhai wako nyamaza la sivyo kinyume chake". Mda huo nakwambia kaninyooshea Hiyo pisto kabisa.
Yaani Kwakweli Kitunda kwa siku hiyo ulipotea sana njia kabisa Yaani kama nikupotea njia hapo ulipotea.
Yaani Hanunu wewe acha tu.
Kwani hao wanaume Walikuwa wangapi?.
Walikuwa watano pamoja na huyo jamaa aliyekuja kunichukua alikuwa wa sita.
Mama yangu weeeee.
Yaani Hanunu.
Sasa ulivyotoka hapo ikawaje?.
Yaani sifai mwili umewaka moto kama Ndiyo hapa "akiwa anaonesha katika sehemu zake za siri akisema". nako usiseme ni pamewaka moto ile mbaya.
Sasa wewe Kitunda ndiyo waniambia,ati Ndiyo wanishauri na Mimi nijiingize Kwenye hayo Mambo. Sinitakufa Sasa kwa style hiyo?.
Wala.Mimi Ndiye niliyekuwa nimefanya kosa.
Kosa kivipi tena?.
Yaani kuna siku yule jamaa Nakumbuka hivi siku hiyo hakuwa na gari hivi nilikutana nae club tu hivi. Mwisho wa siku kanilazimisha tukaenda nae hadi Kulala guest house na tunafanya hadi mautamu kabisa.
Heeeee kumbe tena ndiyo Mkanda unaanzia huko?.
Ndiyo maana yake.Basi yule jamaa baada ya kufanya nae mapenzi akawa amechoka kisha akalala zake chali.
Heeeee mbona makubwa Tena.
Ndiyo hivyo. Basi baada ya hapo Mimi nikaona yule jamaa yuko Usingizini Yaani kalala Usingizi mkali kwelikweli. Yaani baada ya Mimi kuona amelala tu tayari nikachukua begi lake lilikuwa na madini pamoja na simu yake na sikuwa nimevaa manguo mengi kama kawaida yangu unavyonijua nikiwa naenda kazini.
Duuuu ukachukua begi la huyo mtu kabisa.
Ndiyo nikaondoka nalo.
Sasa wewe Kitunda shoga wangu mbona ulikuwa huoni kwamba ni Hatari?.
Ni Sawa ni hatari. Lakini lile begi nikaona hapa wala nisijihangaishe kubeba begi lote lile nikafukunyua mavitu yaliyopo ndani na kisha ile simu nikaichukua huyoooo nikapita pale getini nikaenda kuwalegezea tu walinzi kwa vihela tu.Kumbe yule jamaa alikuwa amenishika sura yangu vizuri sana Kwahiyo Ndiyo maana akaamua kulipisha kisasi.
Yaani wewe Kitunda kama ni maombi inabidi ufanyiwe kabisaaaaaaa.
Yaani shoga wangu. Alafu Yaani Matatizo mengi sana yamenikuta kama haya Lakini bado sikomi tu.Jamani ila Hanunu nikwambie kitu Hela inaua.
Sasa Kitunda Hivyo vitu ambavyo uliviibaga ukavipeleka wapi na faida gani ulipata navyo?.
Yaani wapi Sasa.Hiyo faida,faida gani Sasa niliipata.Kwani najua hata Hayo madini yanavyotunzwa siku hiyo tu naona vitu vimepotea.
Vimepotea?!.
Ndiyo, nikawa nimebaki na simu yake tu Ndiyo nikaja kuiuza kwa bei cheer tu.
Duuuuuuuuuuuu. Yaani Kitunda ni Kweli huko kuna Hela ila duuu hujanishawishi kwa hiyo stori uliyonielezea hapa.
Ndiyo hivyo.alafu hata sioni faida ya hizo Hela nazohongwa.
Utaonaje faida ya hizo hela wakati hujui umezipataje na huyo aliyekupa amezipataje. Wewe ukipata tu ni kwenda madukani kununua manguo mazuri ya special, unaenda sijui Kulala wapi sijui huko baadae mchezo unaisha hujui umeishaje na umefaidika nini na huo mchezo baada ya kuisha.
Daaaa ila ndiyo hivyo Sasa Mimi nimeshazoea tu Hivyo.
Daaaa Kitunda kumbuka wanawake tuna expire kabisaaaaa.
Ni kweli.
Yaaani Kitunda mshukuru mungu amekujaaliwa mwili amabo si wa kuzeeka Haraka. Yaani Sasa hivi unamiaka mingi tu ila waonekana kama nini sijui,tuseme ni katoto tu.
Yaani Mimi hata sijielewi ni shetani gani anayenitembeleaga.
Kwahiyo siku hiyo hao wajamaa wangapi sijui waliokuingilia Sasa ulirudishwa?.
Ndiyo nilirudishwa saa sijui ilikuwa saa tisa za Usiku. Yaani hata njia sikuwa naijua Kabisa.
Hadi nyumbani?.
Ndiyo. Hadi leo sijawahi kukutana nae .
Basi siku Hiyo ikiwa ni siku ya Jumatatu ya mwezi wa Kumi na moja siku hiyo ilikuwa ni siku ambayo kijana Zaidu alikuwa anatakiwa akamalizie Mtihani wake wa kidato cha nne.Amaboo Mtihani huo alikuwa anatakiwa aufanye mishale ya saa nane kamili mchana juu ya alama.Basi kama kawaida yake Zaidu alivyo huwa anapenda kuja kwa Jeni kwaajili ya kufanya majadiliano na Jeni kuhusiana na somo wanalotakiwa wakalifanyie Mtihani.
Basi mda huo ikiwa ni mishale ya saa mbili kijana Zaidu akawa ameshatia timu tayari chumbani kwa Jeni.Mda huo Jeni anaonekana bado yuko kitandani akiwa amejifunika shuka lake hapo.Zaidu akiwa amekaa Kwenye kiti cha CELLO akisema Hivi.
Wewe Jeni bado umeulamba huo Usingizi hadi Sasa hivi tu?.
"akiwa anaongea huku anajinyoosha mikono juu anaiinua na kusema".Bana Weee dogo langu Usingizi Mtamu kwelikweli.Yaani hapa wewe usingekuja sijui kama ningeamka mda huu.
Kwasababu gani?.
Usingizi.
Jana usiki ulikuwa wapi ?.
Nakwambia wala hata sikuwa mahali Popote, nilikuwa zangu Hapa hapa tu.
Sasa oya nimekuja tucheki Yale mavitu ya mchana.
Ahaaaa,alafu huyo demu wako anahamu ile mbaya.
Kwanini tena?.
Yaani leo kaamka mapema ile mbaya. Akaanza kufanya mausafi na kufua kisha akadeki na kuoga ameshaoga na amekuja hapa hadi kukuulizia.
Haaaaa,kuniulizia!?
Ndiyo nakwambia eti Jeni Zaidu kaja.
Ukamjibuje?..
Nikamwambia yuko njiani mda huo nilikuwa na mawenge ya Usingizi Sana.
Kwahiyo hapa mda huu yuko tayari hadi ameshaoga?.
Ndiyo maana yake. Hadi hicho chumba cha hapo kati kakipulizia marashi.
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Kwakweli mbona Jeni Hatari hiyo?.
Sijui hiyo mimba yake Ndiyo inapenda Hivyo kwamba kusex tu.
Duuuuuuuuuuuu sijui.Oya Jeni embu tupa ilo shuka Mimi Nataka nikuoneshe maeneo ya kusoma nikaanze Mambo na Zamda.
Haya Basi naamka."Kama kawaida yake Jeni mama wa kumwaga radhi akawa anainuka huku akilitupa shuka mwilini akiwa hajavaa chochote zaidi tu ni lile shuka alilokuwa amejifunika. Mda huo Zaidu akawa anabaki anaangalia tu Kwasababu ameshamzoea kwelikweli ".
Lakini kwa Upande wa pili Zamda alitoka na kukaa pale sebuleni akawa amefungulia Runinga.Kipindi kilichokuwa hewani kwa mda huo kinaitwa Matumizi.Basi mda huo Zamda kwa ujumla akiwa anasikiliza kwa makini Sana ambapo kipindi hicho huwa anakipenda sana.Ila siku hiyo kwenye hicho kipindi cha matumizi Kwa siku hiyo yalikuwa ni matumizi ya Kondomu.Kwasababu kila siku huwa wanaweka matumizi ya vitu mbalimbali.
Basi mda huo kuna mtangazaji alikuwa akielezea kuhusiana na matumizi ya Kondomu.Alikuwa akisema Hivi
Kondomu inazuia hata ukimwi kwakua itazuia contacts za maji maji kati ya mtu A na mtu B, hii ni nadharia nzuri ambayo itafanya kazi ipasavyo ikiwa mtu utatumia kondomu ambayo kuanzia ulipoinunua, unapoitoa kwenye pakti, unaivaa, na kuitumia utafuata taratibu zote.
Kwa kuelewa kuwa si mara zote mtu ataweza kufuata hizi taratibu ipasavyo hivyo umadhubuti utapungua ndiyo maana hawajasema itakuzuia kwa asilimia mia, ili hata na wao wawe na cha kusimamia ukiwapeleka mahakamani.
Lakini kwa Zamda kipindi kile kwa siku ile wala hakikumfurahisha kabisa. Kwasababu Yeye ni moja ya watu ambao hawapendi kutumia kondomu.
Kwahiyo majadiliano ya Zaidu na Jeni kupeana maelekezo kidogo tayari Zaidu Akawa ametoka pale chumbani kwa Jeni na kwenda aliko Zamda.mda huo Zamda kakaa kwenye kochi akiwa amejiandaa kwelikweli. Nguo kajifunga kanga moja tu.
Baada ya Zaidu kufika pale tayari akawa amekaa Karibu na Zamda salamu ikawa ni kunyonyana tu Yaani kupeana denda.Basi baada ya kama sekunde chache wakawa wana maongezi.yalikuwa hivi.
Mbona mme Wangu nimekusubiri sana Jamani?.
Hamna mbona sijachelewa Jamani."mda huo akiwa anampapasa Zamda maeneo ya mapajani"ndiyo mda wenyewe mbona huu.
Hapana, Yaani miye mwenzako nimeamka mapema kwelikweli nikafanya mambo yote nanilipomazlia tu nikaoga nikaanza Sasa kuandaa kiuno.Kwasababu najua mechi ya leo sijui itakuwaje?.
Ya kawaida tu.
Weeeee navyokujua wewe mzee wa kunikunja.Alafu Baby leo usiondoke mapema bana hapa nataka Yaani sijui nikwambiaje tu.
Haina shida ila mda ukikaribia tu itatubidi tuende tu.Siunajua tena Kule tunapoenda ni mbali sana. Kwa gari tunaweza kuwahi ila kwa miguu tutachelewa Sana.
Sawa Basi.
Basi mda huo Zaidu hakutaka kusubiria chochote zaidi ya Kuanza kumuandaa tu huyo Zamda mtoto wa kingata kitandani kajaaliwa kama nini sijui japokuwa Ana mimba.Mda huo tayari Zaidu mipapaso ya Kwenye mapaja ya Zamda ikaanza Pole pole huku akiwa anatafuta sehemu maalumu ambayo akimshika tu Hapo lazima alegee.Zaidu akawa Sasa Viungo vinavyofanya kazi kwa mda huo ni Mikono yake na mdomo tu.mikono kama kawaida kupapasa kila kona ya mwili wa Zamda na Kwa mdomo ndiyo hivyo kuzidi kuleta ulainishi na hisia za mapenzi zizidi kuwepo.
Baada ya mda hivi kupita Zaidu akiwa anatafuta namna ya kumlegeza Zamda Nakweli akawa amegusa sehemu ambayo ndiyo sehemu maalumu kwa Zamda akipapaswa tu Hapo huyo hafai miguu juu.Ilisikika Sauti ya Zamda Hivi.
Aaaaaaaa shiyiiii, honey twende ndani.
|