SIMULIZI : CHOZI LA DHAHABU SEHEMU YA 15 - Printable Version +- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz) +-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1) +--- Forum: Fasihi simulizi (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=6) +---- Forum: Hadithi (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=48) +---- Thread: SIMULIZI : CHOZI LA DHAHABU SEHEMU YA 15 (/showthread.php?tid=911) |
SIMULIZI : CHOZI LA DHAHABU SEHEMU YA 15 - MwlMaeda - 08-19-2021 SIMULIZI : CHOZI LA DHAHABU SEHEMU YA 15
Ikiwa ni katika mkoa wa kihangu huko alikoenda kufanya kazi kijana Tito. Mapenzi ambayo ameyaanzisha na msichana wa Kihangu ambaye mwanadada huyo Anaitwa Kitunda. Kitunda kumbe si kwamba alikuwa ni mshambamshamba mjini kihangu ila tu ni Tito ndiyo hakujua Hilo kabisa. Kwasababu kama ni hela za Tito alizila kweli kweli kama siku ile Tito alivyokuwa akijitapa kwa Kitunda akisema hivi
"Mimi napokea mshahara Lakini sina hata mtu wakuniumiza kichwa ili nifanye kazi kwa bidii afadhali kwa Sasa nimekupata wewe utatumia Hela zangu hadi utasema Basi tu.".
Kwahiyo basi sentensi ile mwanadada kitunda akawa ameitendea haki Kweli Kweli kwa Tito ambaye anajiita Jabu akiwa na Kitunda. Mda huo inaonekana ni mda wa kazini Hivi Tito yuko maeneo ambayo yanaonekana kabisa wanatengeneza barabara.Eneo Hilo jua limewaka kwelikweli Lakini wanaume kazi kazi tu jasho likiwatoka milini mwao kama vitabu vya dini visemavyo kwamba " Mtakula kwa jasho na mtakuka kwa jasho".Tito akiwa ameshika sururu akiwa amevalia magwanda yake ya kazi ya rangi ya njano na nyekundu huku akiangalia namna jua linavyowaka na kusema Hivi.
Daaaaa hivi wewe Kitunda ndiyo unakula Hela yangu namna huu na Kwa jua hili kabisa. Daaaa jua lote hili linaniangukia alafu mwisho wa siku Kitunda unakuja tu na kunidanganya kwa kiss tu tayari nakupa Hela nabaki na vihela vichache tu vya kuamkia.Daaa Amakweli wanaume tumeumbwa mateso mateso hatuna budi kuyabeba.Wewe Mtoto unaponichanganya ni hapo Kwenye hilo umbo lako tu Jamani ndilo linalonifanya Mimi pia nikifika kwako Kwakweli najikuta sina akili Kabisa.Daaa huyu Mtoto nimtie mimba Au vipi. Daaa Sasa mimba kwa huyu Kitunda. Duuuu Yaani kwa Hela alizonilia kutoka kwangu Yaani Kwakweli hata nahisi nusu ya bajeti ya harusi inaweza kufika kabisa. Yaani mtoto anachukua hela kwangu utafikiri mimi Ndiyo pochi yake Jamani. Daaaaa Hela zote hizo Jamani.Aaaa Mimi huyu dawa ni kumpa mimba tu."Kuna jamaa alikuwa pembeni ya Tito kwa mda huo alikuwa anamuangalia Tito mda huo ambao yuko Kwenye Bahari ya mawazo akitafakari kwelikweli .Kijana yule akawa amemshtua sana Tito kwakusema Hivi "Acha kuwaza wewe Tito piga kazi Wewe.
Napiga mchizi wangu.
Unapiga wapi wewe Nini haswaaa brother kinakusumbua kichwani. Mke wako nini?.
Afadhali angekuwa mke wangu brother.
Bali ni nani ?.
Kuna kademu Hivi nakwambia kananila Hela Yaani kishenzi.Alafu ni kazuri kwelikweli.
Oyaaaa acha Mambo yako ya kipumbavu wewe,Hawa mademu ukijifaya eti wewe una Hela Hivi mbona watakupenda sana kwaajili ya vipesa vyako.Wanawake wanafilisi mtaji wewe kuwa makini hapa mjini brother,Yaani tu ujue kwamba mwanamke anaweza kukufilisi kabisa.
Daaaaaaa kweli brother. Kwasababu nikicheki Hela nilizomhonga yule demu Yaani hata nusu ya hitaji la arusi inawezekana Kufika kabisa.
Achana na hayo Mambo brother.
Kumbe Yeye Tito anavyomuona Kitunda ndiyo Hivyo anavyojua tabia za Kitunda. Kwasababu Tito anajua kabisa Kitunda ni Msichana anayejiheshimu Kweli Kweli, Mwenye umbo zuri kwelikweli, sura yake mashaallah mungu hakumnyima kabisa. Kumbe anavyomjua ndivyo sivyo Kabisa.Yote hii ni Kwasababu Tito huwa anaonana na Kitunda kwa siku za jumapili tu ambapo ndiyo siku ambayo huwa ana nafasi kubwa kabisa.
Basi maneno haya ya Tito ambapo kwa kule alikuwa anajiita Jabu. Kwakweli maneno haya huyo Kitunda aliyafanyia kazi ipasavyo. Kitunda nyumbani kwao si pakusema kwamba ni matajiri Kwaujumla ni maskini kabisa ila ni kwa vile tu Kitunda ni msichana mrembo aliyejaaliwa sura ya kuwahangaisha mabeberu na kuingia tu mifukoni kwao wanatoa Hela na kumpa tu Ila malipo ni hapa hapa duniani na akhera ni mahesabu. Kwaujumla hiyo Ndiyo ilikuwa kazi ya Kitunda. Hakuwa anafanya kazi yoyote ambayo ingemuingizia fedha awe mzuri hivyo Bali tu ni ule ujanja ujanja tu wa mjini.
Basi siku Hiyo Kitunda alikuwa mahali Hivi na rafiki yake hivi aitwaye Hanunu.Hanunu japokuwa kweli Kitunda ni rafiki yake Lakini kwa Hanunu hakuwa na tabia kama za Kitunda. Sasa ndiyo siku hiyo wakiwa nyumbani kwa kina Kitunda. Mda huo mama na baba wametoka kwa shughuli zao za vijungu Jiko. Wanapoishi ni sehemu za uswahilini kweli kweli ambapo huko kila uchafu na ubaya unapatikana huko.Mambo kama vile wizi,wanawake kujiuza Yaani hao Malaya na makahaba ni maeneo ambayo wanapatikana kwa wingi sana.Basi mda huo wakiwa wamekaa Kitunda na Hanunu hapo na Kitunda akawa anamuelezea namna anavyopata hela .
Unajua Hanunu hapa mjini akili tu.
Yaaani Unajua Kitunda wewe ni shoga wangu kwelikweli na Maisha ya nyumbani kwenu ndiyo Kama haya si maisha ya kusema Kwamba ni mazuri Lakini wewe nakuona kweli kwa kupendeza si haba.
Mbona kitu cha kawaida tu hicho Hanunu.
Kivipi Sasa kiwe kitu cha kawaida inawezekana mwenzangu una vibiashara vyako huko mjini alafu wanificha Mimi shoga yako Kabisaaaa.
Nikufiche nini Sasa Wakati kazi zenyewe mjini ni wanaume tu Ndiyo ajira twaipatia Hapo hapo.
"Hanunu alishangaa sana na kusema Hivi".Wanaume?!. Wanaume kivipi tena Kitunda?.
Ayaaaa wanaume tena wanaume wenye Hela bana.
Kwahiyo Ndiyo kitu kinachokufanya uwe mzuri hivi kuliko hata maisha yenu Kitunda?.
Ndiyo maana yake.Sasa kila siku nani wa kula vichakula hivyo Hivyo.
Alaa.Kwahiyo Sasa ndiyo wafanyaje ili uwapate hao Wanaume?.
Mbona kitu kidogo tu shoga wangu.Hao wanaume ni kuwalegezea tu wewe,wewe mwanamke Kaza kiuno kama nini sijui utapata nini Au utafaidika nanini.Yaani mwanamke mrembo kama Mimi nikaze kiuno hapa mjini ntaishije wewe Hanunu.
Kukaza kiuno Yaani kivipi yaani?!!??.
Usiweunawakazia wakikupigia mluzi wewe utazidi kuwa kama nani sijui kila siku .
Sasa huwaogopi?.
Niwaogope wao ni mungu.
Haya bana.
ila kweli Hanunu shoga WANGU kuna baadhi ya maeneo ukipitiwa Kwakweli sidhani kama hata utatamani siku nyingine urudie tena Hiyo sehemu.
Kivipi yaani.
Yaani kama kuna siku moja hivi niliwaahidi wanaume wawili hivi mmoja wa saa nane Hivi mchana na mwingine nikamuahidi ntakuja kulala naye usiku mzima Kabisa Huko kwake.
Hapa hapa mjini kabisa huyo jamaa yuko?.
Hapana kama vile akiishi nje ya mji kidogo Lakini ni kama uzunguni hivi ambapo huyo jamaa demu wake alisafiri nchi za nje.
Ikawaje Kwahiyo siku hiyo.
Weeee noma Sana. Yaani baada ya kutoka kwa Huyo wa mchana hivi huyu ambaye nakwambia anaitwa Jabu naye si haba huyo Ana vihela vya huko kazini nakwambia namkombeaga huyo ile mbaya .
Alafu ikawaje .
Basi baada ya kumalizana naye huyo Jabu Basi ikabidi nikajiandae Yaani nikawa nimerudi nyumbani kwanza na kuwaandalia watoto cha usiku.Kwasababu kwa siku ile mother na mzee Walikuwa wamesafiri na kwenda msibani.Kwahiyo baada ya watoto Kulala huko mishale ya saa mbili hivi za Usiku nikafunga milango yote Kisha nikampigia huyo jamaa ana gari kabisa akawa amekuja pale na kunichukua
Haaaa haaaaa kweli kabisaaaaaaa Kitunda.
Ukweli nakwambia Hanunu.
Kwahiyo ikawaje?.
Yaani yule mkaka tulipokaribia nyumbani kwake hivi daaa akawa amepaki gari pale acha aanze kunilainisha hapo hapo ili nimpe bana.
Heeeee,Mbona makubwa Tena.
Ndiyo Hivyo madogo taarifa ya habari shoga wangu.
Kwahiyo ikawaje?.
Nakwambia akawa amelaza zile siti Sasa mimi hata sielewi ni wapi tuko Hapo mda Huo. Baada ya kulaza zile siti nakwambia kanishika kila mahali Yaani hadi na Mimi nikawa Najikuta sijiwezi hata kukaza tena nikawa nimelegeza tu na kumuachia afanye Mambo tu Hapo hapo.
Haaaaa Kitunda Kweli.
Ndiyo ukweli huo.
Kwanini Sasa mlifanyia hapo hapo ?.
Alikuwa anaona kama tunachelewa hivi. Kwasababu alikuwa anasema kwamba nyumbani kwake ni nje ya mji kwelikweli.Basi nakwambia na nguo ambayo niliyokiwa nimeivaa haikuwa na Shida kabisa. Kwasababu ndani sikuwa nimevaa chochote.
Chochote kabisaaaaaaa Kitunda!?.
Ndiyo maana yake.Sasa Hanunu nivae manguo yote yanini wakati najua Kabisa kazi ninayoenda kuifanya mda huo nini.Haina haja yoyote. Basi kutokana kwanza na gari yake ilivyokuwa ni kubwa kubwa hivi haikuwa na Shida wakati wa kumuwekea style.
Daaaa Sasa Kitunda haukuwa unaogopa kabisa. Kwasababu ulikuwa Kwenye maeneo ya watu kabisaaaaaaa.
Niogope nini wewe. Sasa Lakini mda huo huyo jamaa akawa anapigiwa simu kweli kweli.
Daaaaaaa simu tena?!.
Ndiyo maana yake.Lakini sikuwa naangalia nani anampigia zile simu ni alikuwa anaangalia Mwenyewe tu Kisha anaendelea na kuweka Mambo tu Hapo.
Haukugundua lolote tu hadi Hapo?.
Wala Yaani nakwambia hadi kama ilivyopita kama nusu saa hivi nakwambia baada ya huyo jamaa kuona simu zimezidi Basi akaamua kuwasha gari na kuanza kuondoka pale.Basi mimi nikajua kwamba yawezekana nyumbani kuna wageni hivi.
Kumbe kuna majambazi Au.
Weeeee afadhali wangekuwa majambazi.
Bali Walikuwa ni?.
Wewe sikiliza bana.Yaani kuingia mlangoni tu nashangaa alipofika tu pale getini nakwambia taa zikawaka zote sijui nani kabonyeza na wapi pamebonyezwa.
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Yaani kama ni Mimi Jamani sijui ningefanyaje.Yaani wewe Kitunda una roho ngumu Sana.
Wapi wewe Yaani wewe acha tu.mda huo niko nae pembeni kabisa na geti Tayari likajifungua lenyewe. Kwa geti niliona kabisa alikuwa Ana rimoti hivi Kwahiyo baada ya kubonyeza tu tayari likawa limefunguka.Basi akaenda hadi sehemu anayopakigi magari,baada ya hapo hadi ndani tukawa tumeingia.
Lilikuwa ni Jumba kubwa Sana eeee Au.
Ndiyo Kitunda lilikuwa ni Jumba kubwa Sana Yaani Sana. Tunaingia hadi ndani moja kwa moja Hadi Kwenye chumba chake Ambacho Kwakweli sijui hicho chumba alikuwa ameniandalia miye hapa.
Kwanini tena Kitunda?.
Yaani hapo likitanda liko juu juu kwelikweli alafu hizo taa mwanga wake ulikuwa ni rangi Fulani hivi kama ya bluu Hivi ambayo kwa hapo hata kumuona mtu vizuri sura yake inakuwa ni vigumu.
Mamaaaaa mbona wanitisha Kitunda.
Yaani Hanunu nakwambia jamaa siakataka tuanze Mambo tena nakwambia huyo nikamulegezea kiuno mtoto wa watu nikaweka style ile noma.Chakushangaza kama dakika ngapi tu hivi nakwambia akawa ametokea kijana kwasababu milango aliicha wazi kabisa nakwambia limeshiba kifua ile mbaya tayari na nguo kavua kabaki na bukta tu.
Wewe Kitunda ikawaje Sasa hapo?.
|