MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.
MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.
MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.
MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.
MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.
MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.
MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.
MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.
MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.
MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.
MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.
MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.
SIMULIZI : CHOZI LA DHAHABU SEHEMU YA 04 - Printable Version
JIFUNZE KISWAHILI
SIMULIZI : CHOZI LA DHAHABU SEHEMU YA 04 - Printable Version

+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Fasihi simulizi (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=6)
+---- Forum: Hadithi (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=48)
+---- Thread: SIMULIZI : CHOZI LA DHAHABU SEHEMU YA 04 (/showthread.php?tid=900)



SIMULIZI : CHOZI LA DHAHABU SEHEMU YA 04 - MwlMaeda - 08-19-2021

SIMULIZI : CHOZI LA DHAHABU           
SEHEMU YA 04
      Ni baada ya mwezi kama mmoja Hivi na siku kadhaa hivi Kwaujumla ni baada ya Zamda kumaliza Mtihani wake wa kidato cha pili Tangu kukutana na Tito wakiwa katika guesthouse ambayo walikutana kwa awamu iliyopita.
Sasa ni kwa Mara nyingine tena wameweza kukutana katika guest house ile ile kwa Malengo ya kufanya mautamu yao Kwasababu na Tito siku si nyingi anasema anataka kwenda Kimbu ambako ndiko nyumbani kwao.Nyumbani huko ataenda kwa gari la kazini.
Basi mda huo ikiwa inaonekana ni mishale ya saa Kumi alaasiri ndiyo kwanza huyo Zamda na Tito wakiwa katika kitanda hapo wakiwa wanafanyiana maandalizi ili kuweza kupeana utamu maalumu uliowaleta katika eneo Hilo. Ukichanganya na kwamba siku inayofuatia Tito anataka kuondoka hapo Sasa ndicho kitu kinachompa mawenge kweli kweli huyo Tito.Kwahiyo kwa siku hiyo alikuwa amekamia kweli kweli.
 Mda huo wanaonekana wako uchi wa mnyama Tito akiwa anacheza na Sehemu za kifuani za Zamda na huku anatelezesha Mkono sehemu nyingine za mwili wa Zamda. Zamda naye Mtoto majonjo hapo kitandani kwakujiviringisha viringisha tu utadhani dagaa akiwa katika Himaya la Bahari lazima ataringa.
Mda huo tayari Tito anaonekana kwamba amefanikisha kupitisha mikono yake katika sehemu maalumu na kujikuta Kweli huyo Zamda hafai ni kalegea lege lege sauti yatokea puani kilio anachotoa wala machozi hayaonekani kwa kichapo anachotoa huyo Tito. Tito naye akawa anaongea hivi.
Kukuoa wewe lazimaaaaa Mpenzi wangu si kwa utamu unaonipatia Yaani Zamda wewe unafaa kuwa mke wangu.camooooon honey."Kwakweli kila kona ya mwili wa Zamda Tito ikawa ni yake na huku kazi akiwa anaendelea kumpatia vizuri huyo Zamda. Mda huo mtindo uliopo hapo ni mtindo  ambao Tito kamuweka huyo Zamda ni mtindo wa kifo cha mende.Basi hapo ni miguu juu kweli kweli.Kwa Tito si kwamba ni kijana mwenye nguvu sana Bali kitandani ni ujanja tu na akili Sasa ndivyo ilivyo kwa huyo Tito".
Lakini wakati Mambo yakiwa bado yanaendelea na mda huo tayari imeshapita kama mda wa saa moja na nusu hivi Zamda akawa anaanza kujisikia vibaya.Mda huo Kwakweli akiwa ni kama amezidiwa Zamda ikabidi amsukume Tito kwa nguvu kabisa na kutoka pale kitandani kisha akawa anatapika sakafuni Pale. Tatizo hilo ndilo kwa mara ya Kwanza kuweza kumtokea huyo Zamda.
Sasa hapo ndipo huyo Tito kichwa kikaanza kumuwasha naye akiwaza kwamba hili ni balaa gani tena limemkuta Zamda. "Mda huo Tito akiwa yuko kitandani amekaa akiwa wala hajajifunika kisha akaanza kumuuliza Zamda Hivi".
Vipi baby mbona Unatapika?!.
" Zamda akawa Bado anatapika tu na hali kwa mwilini ndiyo Kama bado inamzidi kuwa mbaya.Lakini pia hapo Hapo anawaza kwamba ataanzajeanzaje kwenda kumueleza huyo mama na baba kwamba akiulizwa nini kimekufanya utapike hivyo hapo ndipo swali linapokuwa rahisi Lakini Majibu yake ni magumu kuyanyooosha tu ndicho kilichomkuta huyo Zamda. Zamda akaamua kumwambia Tito hivi ". Yaani tuseme hujui tu kinachoendelea hapa Yaani unauliza tu kiurahisi kabisa. Hujui Yote haya umeyasababisha mwenyewe."Kisha Tito akamuuliza Zamda hivi".
Mimi sijui kitu chochote na sijui nini nimekufanyia wewe!.
Atiii nini wewe unaongea kwani hujui Kabla sijaanza Mtihani wa form two hatukuja kwenye guest hii hii kwa vile chumba tu si hiki."Ndani hapo Sasa pakawa ni eneo kwaajili ya ugomvi tu.Mda huo Zamda anaongea huku akimsogelea Tito kitandani wakiwa wote bado wako uchi wa mnyama. Zamda akisema".yaani tuseme hujaelewa tu.
Sasa nielewe nini kwani kama mwanafunzi hajaelewa unataka akubali tu Kwa kutingisha kichwa kumbe hujaelewa chochote.Huyo atakuwa ni mjinga afadhali kuuliza swali.Kwahiyo mi ndiyo maana nakuuliza maswali afu unahisi kama vile nafanya utani tu.
Ahaaaaa! Hujui Eeeee Basi ndiyo hivyo!. Mimba.!.Nasijui nitaenda kuwaeleza nini wazazi na Mimi huwa nawaaga naenda kwa rafiki Yangu."Baada ya Tito kusikia neno mimba hapo Kwakweli moyo ukawa uneshtuka chapu na mda huo ukawa ni wakwenda mbio tu Kisha akamuuliza Zamda Hivi."
Atiiiiii??! Mimba!?.Au sijasikia vizuri Zamda."Akanyamaza na akaanza kuongea kimyomoyo tu akiwa anasema hivi ". Sasa hapa ndiyo mwanaume utajua kwamba mwanamke anapigwa chini juu ndiyo panavimba na siyo tena ile sehemu iliyopigwa.Hapo Sasa Hilo ni swali lingine tena."Kisha Tito akaropoka na kusema Hivi".mimi nahisi siyo mimba hiyo itakuwa ni hali tu imebadilika kwenye mwili ndiyo maana kichefuchefu kikakuanza
Ndiyo Tito hii ni mimba Sasa sijui wewe unatoa Hayo mawazo wapi na Wakati Mimi Ndiyo najua huku tumboni kuna nini.
Sasa kati ya Mimi na Wewe nani anajua huko tumboni nini kipo.Kwasababu Mimi ndiye niliyeweka huko na jee kama ni Mchanga tu nilimwagia huko?!.
Weeeeee Tito tusigombane ishia hapo hapo.Unajua Tito unaleta masihara tu hapa.Chamsingi na Hivi mimi nimeshamaliza Mtihani Basi tunaenda tu huko nyumbani kwenu huko Kimbu. Kwasababu hapa wazazi wangu hawatanielewa kabisa.
Wewe bana nini mimba mimba yawezekana ni maleria hapa inakusumbua afu wewe unasema tu kwamba ni mimba inabidi tukapime.
Kwakweli chumba kile kwa mwanzoni kilikuwa ni chumba cha furaha sana Lakini kikawa kimegeuka ni chumba kama vile cha maswali na Majibu kwa ugomvi wa hali ya juu Zaidi na Majibu yanayotolewa yanakuwa bado yanaukakasi kidogo.
Basi kwa mda huo wakawa wamevaa nguo pale na tayari hapo hata njiani ikawa ni vigumu kwa siku ile kutembea wawili Yaani Zamda na Tito.Mda tayari unaonekana umeshaenda kwelikweli ni mishale ya saa Kumi na mbili magharibi i. Hivyo Basi Zamda akaamua kuchukua usafiri wake na Tito usafiri wake kila mtu akiwa na mawazo Yake hapo.
Mda huo tayari Zamda ameshafika nyumbani kwao akiwa anafanya Sasa Maandilizi ya chakula cha jioni. Hivyo kutoka kule guest house walikokuwa ni umbali mrefu sana japokuwa ni kwa usafiri. Mda huo ikiwa ni mishale tayari adhana ya insha inaadhiniwa  katika misikiti mbalimbali ya mkoa wa Ngata.Na kawaida ya Baba Zamda kwa sala ya insha huwa anakula kwanza ndipo anaelekea huko msikitini kwaajili ya kufanya ibada.Baba Zamda ni moja ya wazee wakubwa wa heshima kutokana na kisomo chao walichonacho.Hivyo Basi hupewa heshima sana katika msikiti wao.Kwahiyo kwa mda huo tayari Haraka Haraka Zamda akawa anaandaa chakula na kwenda kutenga cha baba na mama na wao pia sehemu nyingine Lakini wakiwa wanaonana wakiwa wanakula.
      Ghafla tu hali ikawa imembadilikia huyo Zamda Yaani tena anajisikia kichefuchefu kwelikweli. Hapo hapo akajikuta anatapika mama na baba wakawa wanaona na pia wadogo zake wawili wakike akiwa amekaa nao hapo pamoja na kaka yake akawa ameshuhudia nini kimemkuta huyo Zamda. Watu wote pale tonge za ugali zikawa zimebaki mikononi tu huku wakiwa wamepigwa na butwaa Kweli Kweli. Mama Zamda Haraka Haraka akainuka na kwenda kumsaidia Zamda huku akimuuliza maswali hivi.
"mama Zamda akiwa anaonekana amevaa dera jekundu kasimama Mbele ya Zamda kiuno kajishika huku akimuuliza maswali Zamda".Zamda mwanagu nini tena hiki?.Au ni huko unakokwenda kwa marafiki zako Umekula chakula kibaya.
   " Zamda akiwa bado ameinamia sehemu aliyokuwa akitapikia huku akiwa anarudisha Majibu kwa mama yake akisema Hivi ".Najisikia vibaya tu hata sielewi chanzo chake ninini.
  "Mama Zamda kichwani mawazo mengi yakawa yanaaza kumwijia kutoka pande zote za Dunia. Kisha akasema Hivi".mimi Ndiyo maana nakukatazaga kwenda huko mtaani sijui kwa marafiki zako.Kwasababu pabaya huko.
  " Baba Zamda Naye akaamua kuingilia mada na mda huo ameshainuka kabisa huku akiwa ameikunja kanzu yake hadi kiunoni na suruali yake hadi magotini ili uchafu wa matapishi Yale usijeukamwangukia katika suruali yake Au kanzu yake.Kwasababu italeta najisi katika suruali yake.Baba Sasa baada ya kuelewa tukio lile akamuita Zamda kwa Hasira kweli huku akisema " Zamda.... Zamda tayari wameshakumwagia maji ya nazi.Sasa udongo ndiyo huo umeshaanza kutokota na bado utavimba Zaidi hizo ni ishara tu.Zamda mwanangu wameshakuharibu tayari. Nini Sasa hiki umefanyaaaaa?.Si aibu tu katika Nyumba ya shekhe kama mimi kabisaaaaaaa.
   "Mda huo mama Zamda akiwa anamtuliza hasira Baba Zamda huku akisema Hivi".Mume WANGU tuliza hasira kwanza kwani Unajua ni tatizo gani amekutana nalo hapa?.
" Akamjibu kwa hasira Kweli Kweli kwakusema Hivi ".Weeeeeee!!!!!Yaani mke  WANGU kwani wewe Ndiyo unakua leo Au wataka kunifanya Mimi ni Mtoto kwamba sielewi hili wala lile etii.Kwanza naona kama nachelewa masjid hapa kwanza mda si mrefu wanakimu swala mda si mrefu"Akiwa kweli kama anataka kuondoka kuelekea msikitini akaahirisha na kuanza tena kumuuliza Zamda maswali.".Zamda hauna mchumba wewe eti hauna mchumba wewe..?.?!.
" Baada ya Zamda kuulizwa swali lile Kwakweli akawa ameshituka sana kisha akawa anasema Hivi huku akiwa anajing'atang'ata Yaani mdomo ukiwa unatingishika tu mda huo kakaa kwenye kiti baada ya kumaliza kutapika.Akawa amemjibu Hivi ". Haaa.....pa....na...baba sina.....mchumba kabisa baba Wallah.
Sasa Zamda hiyo mimba umeipatia wapi kama huna mchumba Au Mpenzi. Hivi wewe Unataka kunifanya mimi kama vile mimi ni mdogo wako wa ngapi sijui.Huju mimi nimeshaona nyota wa Kwanza kulikoni nyote  hapa. Alafu Unataka kunidanganya kiurahisi hivyo?.eti Zamda."Mama Zamda akaingilia mada kwakusema".
    Lakini mbona Hilo suala la mimba umeling'ang'ania Hivyo mume wangu.
Na wewe mama Zamda nyamaza hili joho usilivae sherehe si yako.wakati wewe Ndiyo kama msababishi wa haya yote. Sasa wewe Zamda ndiyo utajua mwenyewe kwamba una mchumba Au chumba ,Au ndipo utajua kwamba una mapenzi na mtu fulani Au unamapezi ya samaki fulani.  Hapa nachotaka hapalaliki leo hadi umpigie huyoooo aliyekuwekea huo uchafu huko tumboni kabla ya mda wake haujafika.Yaani Mtoto ndiyo juzi tu umefanya Mtihani kumbe ulikuwa na uchafu huko tumboni. Sasa mpigie Au wapigie simu hao wapenzi wako taja namba kwa kaka yako Mpundu pale Haraka. Kama huzikumbuki itakula kwako Au unasimu Hapo?.
Sina simu Baba."Nakweli Zamda akawa anampa namba za huyo Tito ili ampigie.mda huo kaka wa Zamda wala hakuwa anaongea chochote kuhusiana na Jambo linaloendelea kwa Zamda. Baada ya kuandika namba zile na simu ikawa inaita kisha Zamda mda huo akawa anasubiria simu ipokelewe.mda huo mama,baba,na wadogo zake Zamda pamoja na kaka yake wamesimama kushangazwa na Jambo linaloendelea hapo.kimya kikawa kimetawala baada ya simu kupokelewa na Tito.Mda huo simu imewekwa sauti ya juu kabisa (Loud speaker).Maongezi yakawa hivi ". Halooo unaongea na Zamda Hapa." Kwahiyo Zamda ikabidi atumie tu njia ya kuweza kumteka Tito na aweze kuja pasina kuhofu chochote ".
Ahaaaaa Zamda
Namba ya mtu mwingine tu hii.Sasa nimefika hapa nyumbani nimekuta hamna mtu watu wote wameshaondoka.
Ahaaaaa vipi hujawauliza majirani hapo.?
Ndiyo nimewauliza majirani.Hata  simu ninayotumia ni simu ya mtoto wa jirani yangu hapa naitumia hii ananiambia wameenda kwenye arusi na kurudi ni kama saa nane hivi Au saa tisa.Kwahiyo wameuacha ufunguo Hapa.
   Sawa Basi mimi nakuja mda si mrefu. Tulia nijiandae hapa Haraka Haraka.
  Sawa fanya Basi Hivyo mimi nakusubiri kwa hamu kweli kweli.
Baada ya kumaliza kuongea pale Zamda akawa amekata simu Kisha akampatia Mpundu simu yake.Baba Zamda akawa anasema Hivi
Yaani hapa ungejiloga tu kuongea vingine yaani hicho kidume chako mda huu huu tungemtumia polisi Sasa hivi. Tena na wewe ni mwanafunzi weeeee ungeisoma namba.Sasa hapa sisi wote tunaingia ndani na wewe utabaki ukiwa unamsubiri Hapa. Akiingia tu Mimi na kaka yako tunatokezea Hapa. Usifunge mlango akishaingia.
Sawa Baba.