MISEMO YA KWENYE VYOMBO VYA USAFIRI - Printable Version +- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz) +-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1) +--- Forum: Fasihi simulizi (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=6) +---- Forum: Semi (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=49) +---- Thread: MISEMO YA KWENYE VYOMBO VYA USAFIRI (/showthread.php?tid=714) |
MISEMO YA KWENYE VYOMBO VYA USAFIRI - MwlMaeda - 08-01-2021 UKIWA NA MSONGO WA MAWAZO TAFUTA KITUO CHA DALADALA TU,UTAFURAHI NA ROHO YAKO AISEEE!!! UTAWASIKIA AU KUSOMA NYUMA YA GARI: 1.Yatima hadeki 2.Utamu wa chips mimba 3.Ukitaka kujua ugumu wa kudai kopesha ukweni 4. Usiyempenda kaja 5. Kobe hapimwi joto 6. Acha kazi uone kazi kupata kazi 7. Ukichezea koki utalowa 8. Heshima pesa kipara kovu tu! 9. Mtumbwi hauna saitimira. 9. Silaha pesa bastola mzigo 10. Hata uoge mjini huendi 11. Chezea mshahara usichezee kazi. 12. Ukiona manyoya ujue kaliwa 13. Ikisimama Panda 14. Pombe pombe tuu kunywea bar mbwembwe 15. Njia ya chooni haioti nyasi 16. Likizo ya maskini ugonjwa 17. When i grow up i want to be a scania 18. Hata bibi alikuwa binti 19. Kisigino hakikai mbele 20. Kama mapenzi pesa kaolewe na benki 21. Hata barabara ina matuta lakini huwezi panda viazi 22. Mavi hayana miba lakini ukikanyaga lazima uchechemee 23. Paka haishi kwa msela 24. Ukipendwa ujue kuna boya kaachwa 25. Nipo nipo kwanza 26. Mchana nzi ucku mbu 27. Usimshangae funza kukata viuno ndio mwendo wake 28. Kama umelipenda (gari) bonyeza nyota liwe lako 29. Supermarket hawauzi mkaa 30. We nisubiri mi nakungoja. 31. Zetu dagaa kuku tamaa 32. Hata uwe na heshima vipi huwezi kumpokea askari bunduki!!!!!!!! |