MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

SWALI: Nini maana ya stadi ya kusikiliza? Eleza vipengele vyake - Printable Version
|

+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Chuo (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=3)
+---- Forum: Stashahada/Cheti (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=21)
+----- Forum: Maswali na majibu (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=27)
+----- Thread: SWALI: Nini maana ya stadi ya kusikiliza? Eleza vipengele vyake (/showthread.php?tid=709)
|
SWALI: Nini maana ya stadi ya kusikiliza? Eleza vipengele vyake - MwlMaeda - 08-01-2021
SWALI: Nini maana ya stadi ya kusikiliza? Eleza vipengele vyake
JIBU
Kusikiliza ni stadi inayomuwezesha mtu kupokea maarifa kwa kusikiliza toka kwa mtu mwingine, au kutoka kwenye media zilimorekodiwa masuala mbalimbali kama vile santuri,vinasa sauti,tepu rekoda au hata kwenye redio.
Stadi ya kusikiliza kama zilivyo stadi nyingine hutawaliwa na vipengele mbalimbali ambavyo husimamia usikilizaji wa mtu. Vipengele hivyo ni:
- Viungo timamu vya mwili vinavyohusiana na usikiaji
- Utayari wa kusikiliza kinachosemwa na mzungumzaji
- Hamu ya kusikiliza kinachosemwa
- Utulimu na umakini wakati wa kusikiliza
- Uwezo wa kutafsiri na kuhusianisha yanayosemwa na mazingira yake ya kila siku
- Uchaguzi mzuri wa mawazo makuu katika kile anachosikiliza
- Uzingatiaji wa mambo yanayozungumzwa na kutathimini umuhimu wake
Katika stadi ya kusikiliza, msikilizaji anaweza asipate mawasiliano barabara kutokana na tatizo lake mwenyewe, kama vile ulemavu wa viungo vya kusikiliza, mazingira yasiyofaa kama vile kelele au uwezo mdogo wa kumbukumbu.
|