VIFAA VYA MTAALA - Printable Version +- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz) +-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1) +--- Forum: Zana za kufundishia (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=69) +--- Thread: VIFAA VYA MTAALA (/showthread.php?tid=706) |
VIFAA VYA MTAALA - MwlMaeda - 08-01-2021 VIFAA VYA MTAALA Mtaala una vifaa vyake maalumu ambavyo vinatakiwa vitumike kwa usahihi ili kutekeleza mtaala kwa ufaninsi. Vifaa hivyo ni;
MATAYARISHO YA UFUNDISHAJI
Matayarisho ya ufundishaji ni ile hali ya mwalimu kuandaa zana na vifaa muhimu kwa ajili ya kufundishia na kujifunzia
UMUHIMU WA MATAYARISHO YA UFUNDISHAJI
Kazi ya kufundisha ni kazi ya kitaalamu hivyo inahitaji maandalizi wakati wote. Hivyo basi mwalimu anapaswa kufanya maandalizi ya kutosha kabla ya kuingia darasani kufundisha na kwa mantiki hiyo mwalimu analazimika kujiandaa ili kuepuka matatizo yafuatayo wakati wa kufundisha na kujifunza.
Kumbuka:
Ili Mwalimu aweze kukamilika katika maandalizi yake ya ufundishaji wa kila siku ni muhimu awe na baadhi ya vifaa ambavyo ndivyo msingi muhimu na muongozo muhimu wa kazi yake. Miongoni mwa vifaa hivyo ni:
|