MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

“Watumiaji wa lugha ya Kiswahili ni watu wa makundi manne (4) ” Thibitisha. - Printable Version
|

+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Sekondari (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=4)
+---- Forum: Kidato cha tano na sita (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=44)
+----- Forum: Maswali na majibu (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=47)
+----- Thread: “Watumiaji wa lugha ya Kiswahili ni watu wa makundi manne (4) ” Thibitisha. (/showthread.php?tid=654)
|
“Watumiaji wa lugha ya Kiswahili ni watu wa makundi manne (4) ” Thibitisha. - MwlMaeda - 07-27-2021
SWALI: “Watumiaji wa lugha ya Kiswahili ni watu wa makundi manne (4) ” Thibitisha ukweli wa kauli hii.
Lugha ya Kiswahili inazungumzwa na watu wa makundi makubwa manne katika jamii. Makundi hayo ni:
- Wasemaji wa Kiswahili ambao ni lugha yao ya kwanza
- Wasemaji ambao Kiswahili ni lugha yao ya pili kwa mfano mtu anayefahamu lugha yake ya asili kama lugha ya kwanza
- Wasemaji wa Kiswahili wageni ambao wanakifahamu Kiswahili vizuri na kumudu kaida zake
- Wasemaji wa Kiswahili ambao hukifahamu kwa kiasi kidogo mno hasa wageni ambao huja kujifunza mila na desturi za waswali na kukaa nao kwa muda mfupi.
RE: “Watumiaji wa lugha ya Kiswahili ni watu wa makundi manne (4) ” Thibitisha. - MwlMlela - 07-27-2021
Majibu mazuri sana mkuu
|