ISTILAHI ZA KISWAHILI CHA KOMPYUTA - Printable Version +- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz) +-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1) +--- Forum: Kiswahili cha Kompyuta (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=13) +--- Thread: ISTILAHI ZA KISWAHILI CHA KOMPYUTA (/showthread.php?tid=341) |
ISTILAHI ZA KISWAHILI CHA KOMPYUTA - MwlMaeda - 06-28-2021 32-bit biti-32 about kuhusu accelerator kichapuzi accessing ufikio access (n) fikio (n) access (v) fikia (t) account akaunti actions menu menyu-vitendo activate amilisha acute kali adapter adapta add ongeza add-on help msaada nyongeza add-on nyongeza address anwani address book kitabu cha anwani adjust rekebisha administrator mtawala alert me nitahadharishe alert (n) tahadhari alert (v) tahadharisha alias jina jingine allocate tenga allocation (n) mtengo (result) allocation (v) utengaji (process) all -ote allow popup from this site ruhusu udukizi kutoka tovuti hii allow ruhusu alphabetic text character kiwambo alfabeti Alt (Alternate) (Kbdl) Kibadala ampersand ampasendi animation uhuishaji anonymity ufichojina Aperture Value Thamani Upenyo apparition mzuko appears to be huonekana kuwa applet apuleti application (s) programu-tumizi apply tekeleza arccosine kosinitao archive (n) jalada (n) archive (v) jalidi (t) array formula fomula pahi article kikala artificial bandia ASCII (American Standard Code for Information Interchange) ASCII (Msimbo Sanifu wa Marekani wa Mabadilishano ya Habari) assigned -liopangiwa asterisk kinyota at -enye attachment funge attribute(s) sifa authentication uhalisishaji authorization uidhinishaji author mtunzi autocomplete kamilisha kiotomati auto correct rekebisha kiotomati auto detected -li-ogunduliwa kiotomati auto-detect gundua kiotomati autoFormat (n) Fomati Otomati (n) autoFormat (v) Fomati Kiotomati (t) autoload pakia-kiotomati automatic detection ugunduzi kiotomati auto-reliable -a kuaminika kiotomati AutoXXX OtoXXX back button kitufe rejeshi backend kisogoni background color rangi usuli background usuli backslash(e)s mkwajunyuma backward moderated -li-orekebishwa kinyume bad address anwani potofu bandwidth upana-bendi bar mwambaa baud baudi BBS (Bulletin Board Service) HUM (Huduma za Ubao wa Matangazo) beamer kimweko beam mweka beta beta bevel matemo Bidi options Hiyari tandawili binary (adj) jozi (kv) binary (n) jozi (n) bit biti bitmap taswidoti blank uwazi blind carbon copy (bcc) nakala fiche (bcc) block (a command) zuia (amri) block device kitunza data blocked iliozuiwa block (n) duta body gimba bold (adj) koze (kv) bold (v) koza (t) bookmark link alamisho bookmark (v) alamisha (t) bookmark (v) alamisha (t) Boolean Buleani Boolean operations matendo Buleani border relief nafasi-kingo border(s) (u)kingo bounce shindwa kufika bouncing block duta shinde box kisanduku brackets mabano browse (for file) vinjaria (faili) browser Kivinjari browse vinjari bubble (n) kiputo buffer bafa bugs hitilafu built-in -a ndani bulleted list orodha tobwe bullet points alama tobo bullet tobo button kitufe buttons: exit vitufe: toka byte(s) baiti cache kache calculator kikokotoo call-in mwito-ingia call-out mwito-toka call preference mwito teule cancel ghairi caption maelezo mafupi capture (v) nasa (t) carbon copy (cc) nakala (cc) carriage return kirudishi carrying case mfuko CD/CD-ROM/compact disk diski-ROM certificate manager Meneja Ithibati certificate viewer kionyesha hati change badili channel (n) mkondo (n) character set seti kibambo chart chati chat group kundi sogozi chat sogoa check box kisanduku tiki check for tafuta check (n) tiki (n) checksum namba thibitishi check (v) tiki (t) children (hierarchy) watoto (kingazi) chime mlio kengele chip chipu choose chagua chooser mchaguzi chunks vipande cipher msimbo ciphers misimbo clash siga clear (a) -liotanduka clear tandua click bofya client koteja client-server relationship uhusiano koteja-seva clients koteja clip pogoa clobber zana clone kloni close (a) -a karibu close funga closer karibu zaidi closest -a karibu sana collapse kunja collate pangilia collect e-mail sanya barua e- colon nukta pacha color capabilities uwezo kirangi colorspace masafa rangi colour resolution msongo rangi column span upana safu-wima command amuru (t) command line invocations miito ya mstari amri command line (n) mstari amri command (n) amri common -a kwawida compatibility utangamano compatible tangamana com port (communications port) mlango wa mawasiliano composer programu tunzi compose tunga computer kompyuta computer-literate arifu kompyuta concatenate funganisha concatenations mifunganisho configuration file faili sanidi configuration usanidi configuration utility programu sanidi configure (ku) sanidi connection failure unganisho shinde connect unganisha controller cards kadi dhibiti control (n) kidhibiti control panel paneli dhibiti controls vidhibiti control (v) dhibiti (t) converge kutana convergence kutano converter kigeuzi convert geuza cookie kuki copy nakili corrupted -li-ovurugika corrupt vuruga counter kihesabio country code msimbo nchi cracker mharabu crash kwama CRC CRC create links unda viungo create unda credentials hati tambulishi credits heko crop pogoa cross-posting usambazaji cross-post (v) sambaza Ctrl (control) Kdbt (kidhibiti) curly brackets mabano wimbi curly quotes nukuu wimbi cursor kasa customized -li-okaidishwa customize kaidisha custom kaida cut kata daemon dimoni data area eneodata data bank kanzidata database hifadhidata data bit biti data data data debugging weuaji debug (n) euo debug (v) eua decision uamuzi decode simbua dedicated -li-owakifishwa default chaguo-msingi default gateway lango-msingi default search engine injini-tafuti msingi default value thamani msingi Del (delete) Futa (futa) delete futa deleting ufutaji deletion mfuto deletions mifuto delimiter kitenganishi deliver (v) wasilisha (t) deprecated -li-okonga desktop dawati destination mwishilio detect gundua device independent -sochagua kifaa device kifaa device manager meneja vifaa diagnostics uchunguzi dial dayo (n) dialogue box kisanduku cha mawasiliano dial out (v) dayo nje (t) dial tone mlio dayo dial-up (adj) -a dayo dial-up networking mtandao simu dial-up (v) dayo (t) digital camera kamera dijiti digital signature saini dijiti digit dijiti direction mwelekeo directory saraka disable lemaza disconnect tenganisha disk capacity uwezo wa diski disk diski disk space nafasi ya diski display class daraja zinzo displayed zinzwe display (n) zinzo (n) display (v) zinza (t) disposition mpangilio document andiko documentation mwongozo domain kikoa done gotoka double-click bofyabofya download pakua down (vi) shuka down (vt) shusha drag and drop kokota na dondosha drag kokota drawing object bar mwambaa vichorea driver dreva dual mode modurufu dump dampo dump (v) tupa damponi (t) dynamic IP-address anwani-IP badilifu edit (the action) hariri edit (the button) kihariri (kitufe) eject fyatua e-mail barua e- embedded futike emoticon kikaragosi emulator kiigizi enable wezesha encode simba (t) encrypted msimbo fiche encrypted text matini-msimbo fiche encryption usimbaji fiche enhance boresha enhanced bora enter (n) ingizo enter (v) ingiza entry ingizo envelope orientation mkao wa bahasha environment variable kibadili kimazingira error hitilafu Esc (escape) Epa (epuka) events matukio executable file(s) faili tekelezi execute tekeleza exit buttons vitufe vya kutokea exit toka expand tanua export hamisha extension tawi external -a nje face type aina ya chapa fail shindwa false si kweli FAQ (Frequently Asked Questions) MYM (Maswali Yaulizwayo Marakwamara) favourite kibwedo field uga file faili file transfer protocol (FTP) itifaki ya kuhawilisha faili (IKF) filter (n) chujio filter (v) chuja find tafuta finish maliza firewall ngome flags viboya floppy disk diski tepe flow control udhibiti wa mtiririko folder folda font fonti footer wayo footnote tiniwayo format (n) fomati (n) format (v) fomati (t) forum ukumbi forward slash mkwaju frame fremu free (to ~ up space on disk) toa nafasi freeware programu dezo frequency dafaa frontend usoni full-screen mode Modi skrini-nzima FYI (For Your Information) KTY (Kwa Taarifa Yako) game(s) mchezo gateway lango gigabyte gigabaiti glossary faharasa grant permission idhini ruzuku graphic mchoro greater than kubwa kuliko guest mgeni hacker mdukizi handshake mkono hang up Kata simu hang (v) kata hard drive – disk diski kuu hardware maunzi hash reli header kichwa height kimo help msaada hide ficha highlight (v) angaza hint dokezo history historia home button kitufe mwanzo home directory saraka kaya home page gombo kaya host mwenyeji hypertext matinifora hyphenation unganishaji icon ikoni idle (n) bwete image taswira import leta inbox kisanduku pokezi inconsistency usongombingo inconsistent songombingo indent (v) jongeza ndani info taarifa inner margin pambizo ndani input box kisanduku ingizo input ingizo insert cells down chomeka seli chini insert chomeka install sakinisha (t) integrated fungamana interactive wasilianifu interface kusano Internet Wavuti invalid batili invite alika IP (Internet Protocol) IP (Itifaki Wavuti) ISP (Internet Service Provider) ISP (Mtoaji Huduma Wavuti) italic italiki Javascript hatiJava jobs (e.g. print jobs) kazi (k.m. kazi za kuchapa) join unga junk mail barua taka justified linganifu keep track fuatilia keyboard baobonye key (on keyboard) kibonye (katika kibodi) keyword neno msingi kilobyte kilobaiti kit kivunge label lebo LAN (local area network) LAN (mtandao kiambo) last modified rekebisho la mwisho last visited tembeleo la mwisho launch zindua layer tabaka layout mpangilio link kiungo link (to) unga list orodha load pakia locale -a kiambo log file faili kumbukumbu login (info) kuingia (maelezo) log in ingia log out toka log (v) tunza kumbukumbu lowercase herufi ndogo mailbox sanduku la barua mailing list orodha anwani manager meneja manual mwongozo margin pambizo mark alama master kuu match oanisha maximise tanua mean -a kati megabyte (MB) megabaiti (MB) member mwanachama memory kumbukumbu menu bar mwambaa-menyu menu menyu menu proxies menyu proksi message ujumbe microphone mikrofoni minimise finya mirror kioo (n) mirror (v) akisi (t) mismatch (v) sigana modem (modulator-demodulator) modemu (modu-demodu) mode modi moderated -li-orekebishwa modify rekebisha monitor (n) monita monitor (v) simamia (t) mouse pad kata puku mouse puku mousewheel gurudumu puku move (v) sogeza (t) multimedia medianuwai multiple recipient wapokezi anuwai name server seva majina navigate rambaza network mtandao new -pya newsgroup kundihabari newsletter kijarida next ifuatayo nickname lakabu non-blank isoachwa tupu none bila notify arifu not writeable -sioandikika numbering uingizaji namba objects viumbile offline (go ~) nje ya mkondo (nenda ~) offline nje ya mkondo OK SAWA online mkondoni open fungua open software localization project mradi wa kuswahilisha programu huria open source chanzo huria operation(s) operesheni operator opereta optional -a hiari option chaguo organise pangilia outbox kisanduku toa outer margin pambizo nje output zao overwrite (v) andikiza (t) page gombo page orientation mkao wa gombo paginate kurasisha parent (hierarchy) mzazi (kingazi) password nywila paste bandika path njia pause pauzi percentage asilimia permission (s) ruhusa pick twaa picture picha pie pai pixels piseli plug-in (n) programu-jalizi (n) plug in (v) chomeka plagi (t) pointer kidosa point nukta (n) point (v) dosa (t) popup (n) kidukizo (n) popup (v) dukizo (t) power umeme preferences aula prefix kiambishi awali press bonyeza preview hakiki print chapisha printer printa print job kazi ya kuchapisha privacy faragha processing uchakataji process mchakato program programu progress hatua properties sifa protocol itifaki Public Domain Software Programu Huria query ulizo (n) query (v) uliza (t) queue (n) foleni (n) queue (v) panga foleni (t) quit aga radio button kitufe redio range masafa read soma reboot washa upya receive pokea recipient mpokezi recover nusuru recycle bin kisuduru redirection uelekezaji redo rudia reference rejeo Ref: Yah: Re: Jb: reliable -a kuaminika reload pakia upya remove ondoa rename badili jina repaginate kurasisha upya replace badilisha reply jibu requirement mahitaji reset seti upya resource rasilimali response jibu restart washa upya resume anza upya retry jaribu upya return rejea retype chapa upya round brackets mabano rules kanuni run endesha save hifadhi scale (v) skeli (t) scanner skana scan (v) skani (t) schedule ratiba screensaver kilezi screenshot kielelezo-skrini screen skrini script hati scroll bar mwambaa biringizo scroll biringiza search engine injini tafuti search tafuta sectors sekta secure (n) salama secure (v) salimisha security usalama security warning hadhari ya usalama select all teua -ote selection uteuzi select teua semi-colon nukta mkato send tuma separator (delimiter) kitenganishi server seva service huduma session kipindi set as seti kama settings vipimo set to true seti kwenye kweli setup usanidi share changio (n) share (v) changia (t) sheet laha shortcut mkato show onesha shutdown zima sidebar mwambaa pembe signal ishara signature saini sign in ingia sign off toka sine sini single-click bofya site tovuti size saizi skip ruka slash mkwaju slave (adj) joli (v) slider kitelezi slide telezesha small caps herufi kubwa ndogo smiley kicheshi software programu sort criteria kigezo mpango sort panga source chanzo spam (v) peleka barua taka (t) spell-checker kikagua tahajia spell checking ukaguzi tahajia split gawa spreadsheet lahajedwali square brackets mabano mraba static IP-address anwani-IP tuli status hali store ghili string (n) utungo stuck goma style sheet laha mtindo subject line mstari mada submit wasilisha subscribe jiunga suffix kiambishi tamati surf rambaza suspend subirisha syntactical error hitilafu ya kisintaksia syntax sintaksia system mfumo tab key kibonye tabo tab tabo tag tagi tangent tanjiti tape tepu target lengo TCP (Transmission Control Protocol) IKU (Itifaki ya Kudhibiti Urushaji) template templeti terminate katisha text matini theme mandhari thumbnail kijipicha tilde kiwimbi time elapsed muda uliotumika timeout muda umeisha time remaining muda uliobaki tips vidokezo toggle gura toolbar mwambaa zana tool zana topic mada transferable hawilishika transfer (v) hawilisha (t) transmit rusha trash taka true kweli undelete futua underline pigia mstari undo tengua uninstall sakinusha unread -siosomwa unsubscribe jiengua update sasisha upgrade (v) boresha upload pakia uppercase herufi kubwa URL (Uniform Resource Locator) KISARA (Kioneshi Sanifu Rasilimali) user mtumiaji username jina la mtumiaji utilities vitumika valid halali verify thibitisha version toleo view angalia view (v) angalia (t) virtual mnemba virus kirusi volume ujazo wallpaper pazia warn (v) tahadharisha (t) watch tazama webmaster mtawala tovuti web page gombo wavu website tovuti web wavu widget wiji width upana window dirisha wizard sogora word processor kichakata matini workspace ulingo wrap fungasha write andika write-protected -liokingwa kuandikwa WWW (World Wide Web) WWW (Wavu Wa Ulimwengu) |