MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

HISTORIA YA CHIFU MKWAWA / WAZUNGU WANAYOIFICHA! - Printable Version
JIFUNZE KISWAHILI
HISTORIA YA CHIFU MKWAWA / WAZUNGU WANAYOIFICHA! - Printable Version

+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Historia ya makabila ya kibantu (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=15)
+--- Thread: HISTORIA YA CHIFU MKWAWA / WAZUNGU WANAYOIFICHA! (/showthread.php?tid=286)

HISTORIA YA CHIFU MKWAWA / WAZUNGU WANAYOIFICHA! - MwlMaeda - 06-26-2021

HISTORIA YA CHIFU MKWAWA / WAZUNGU WANAYOIFICHA! Wahehe walimuita Mkwawa mtwa, waswahili wakamuita mfalme, Unyanyembe wakamuita mtemi, waha wakamuita Mwami na shuleni tukamuita Chifu Mkwawa, mwanaume pekee aliyewanyoa nywele wazungu bila maji. Huyu mwanaume kiboko ya Wajerumani ni uzao wa yule jiniazi kutoka nchi ya Uhabeshi, Ethiopia ya leo, aliyefika katika ufalme wa Mwamududa miaka 1700 akiwa na teknolojia ya kuwinda kwa mbwa.