MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

SHAIRI: MWAKA HUU SISHIRIKI - Printable Version
|

+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Fasihi simulizi (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=6)
+---- Forum: Ushairi (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=50)
+---- Thread: SHAIRI: MWAKA HUU SISHIRIKI (/showthread.php?tid=2109)
|
SHAIRI: MWAKA HUU SISHIRIKI - MwlMaeda - 01-11-2022
MWAKA HUU SISHIRIKI
Mwaka huu sishiriki, nanioneke mjinga
Sitaki thama sitaki, mbali nanyi najitenga
Kumbe hamtendi haki, mshindi mshampanga
Na nioneke mjinga, mwaka huu sishiriki
Sitaki kujipa dhiki, Ni mjuvi wa uhenga
Wamewamwaga samaki, kwa nini niwape unga
Wallahi sitadiriki, uovu kuupa kinga
Na nioneke mjinga, mwaka huu sishiriki
Sijitii ushabiki, tuli nangoja kipenga
Hata nikipewa laki, uwanjani sitotinga
Siuwezi unafiki, ndiyo leo najifinga
Mwaka huu sishiriki, na nioneke mjinga
MBARUKU ALLY
MOTO WENU Jr
0717199835
11/05/2017
17:40
CHUO KIKUU DODOMA
TANZANIA
|