KAMUSI YA KIHEHE – KISWAHILI - Printable Version +- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz) +-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1) +--- Forum: Historia ya makabila ya kibantu (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=15) +--- Thread: KAMUSI YA KIHEHE – KISWAHILI (/showthread.php?tid=171) |
KAMUSI YA KIHEHE – KISWAHILI - MwlMaeda - 06-21-2021 1. Kamwene – Habari za leo 2. Hweuli- ni salam inayotumika mara ya pili kwa mtu ambaye tayri mmeishasalimiana 3. Unoge- Hujambo 4. Mchepenge-Msichana mzuri 5. Sandee (Ndiilumba) – Asante 6. Inguluvi – Mwenyezi Mungu 7. Kutuwonela – Kutuonea 8. Sambi(Inzanagifu) -Dhambi 9. Lukani – Jambo fulani 10.mgata-mvivu 11.sulunuke-telemka 12.kivembo-msiba 13.fwili-nywele 14.lileme-tumbo/mimba 15.mgoda-dawa 16.mkila-mkia 17.mtwe-kichwa 18.mwani-pwani 19.kidada-kiburi au maringo. 20.gida-ng’ombe mkubwa wa kulima(aliyehasiwa) 21.ng’ambakwa-dume la ngombe lisilohasiwa 22.kidunda-mlima 23. Mgoda-Dawa 24. Mgunda-Shamba 25.Mbetuli- wote 26.mwimise-Msimamishe 27.yalafile- Ameona 28.Yetwihuma- Ndio tunatoka (tukiwa zaidi ya mmoja) 29.mbitu- Pombe ya mahindi iliyolala (ambayo jana ilitakiawa inywewe lakini haikunywewa) 30.inyalutanana- kitu chenye asili ya uwanda wa juu 31.lwipepite- 32.Ukahagwe – Ulichagua 33.Avangi kwimba – Wengine wanasoma 34.gameme – Ujae pomoni. Kujaa mpaka juu 35.mkisande – kwenye kihenge labda cha mahindi,ulezi n.k 36.ndidudila ngusa – Nachechemea nakuja 37.litawa – Jina 38.sunganyame – Nitahama mfano makazi 39.amahavi – Wachawi 40.magayawema – Hawana wema 41.mwifunyage – Mtambikage 42. ndihega – Natoka au nakwenda (Sign out) 43.sivagula – Hawatanunua 44.twitang’ana – Tunakutana 45. Kitekenya-Funza 46.mwigati-ndani 47. Nyela ndisaka mgoda gwa lwendo,kuna mhinza kumuwenda sana nekenimulongele lakini akabihe 48. Bela – Ndugu 49. Umuvango -Mwanzo 50. Lusiku- Siku nyingine tena 51. Pambele- baadaye 52. Muyago- Mwenzako 53. Muyaangu- Mwenzangu 54. Uvangu- Mke/mpenzi wangu 55. Mwusafi – Malaya/fataki 56. Uwusafi- umalaya Kuvalila- Kuhesabu 57. yimwi- moja 58. Sivili – Mbili 59. Sidatu- Tatu 60. Sitayi- Nne 61. Sihaanu – tano 62. Simutanda- sita 62. Simufung’ati- saba 63. Simunana- Nane 64. Sinyigonza- Tisa 65. LIchumi- Kumi 66. Ligana- Mia 67. Imbilima – Elfu 68. KUUTALO- MBELE, 69. MWAANDI-MWANZO, 70. KUPUKA-KUPEKECHA, 71. UWUFUULA-UCHI, 72. MUVINA-MKUBWA, 73. KUHEGELELA-KUSOGEA, 74. KUKELA-KUFURAHIA, 75. LUWUUNGO-HARUSI, 76. KITEFU-KIBURI KILICHOKITHIRI, 77. KWITENDE- CHINI YA KITU (KIFASIHI-SEHEMU ZA SIRI) 78. LISWII- SAUTI 79. LIHIGO-JIBU, 80. MTELA-MWIKO WA KUPIKIA, 81. KWIMBA-KUSOMA, 82. KUGAVA-KUUMBA 83. NGULUVI YITAANGE-MUNGU ASAIDIE, 84. IMIGO-KAZI, 85. MALIGO- MATUSI, 86. KUPILIMA-KUZUNGUKA, 87. ING’ALA-BARIDI, 88. LISUVA-JUA, PAKILO-USIKU, 89. PAMUNYI-MCHANA, 90. PAMILAU-ASUBUHI, 91. MILAU-KESHO, 92. PAUCHA-KESHOKUTWA, 93. PALULA-MTONDO, 94. NENG’UNI/NAMUNYI-LEO. “Mnaonaje kama tuandike ikamusi yetu ivela na kisungu-kihehe, then kisw-kihehe & vise versa” mutange va mwa dada tuongeze maneno zaidi. |