MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

KITENZI KISHIRIKISHI NA MAUMBO YAK - Printable Version
JIFUNZE KISWAHILI
KITENZI KISHIRIKISHI NA MAUMBO YAK - Printable Version

+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Sarufi na Utumizi wa lugha (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=9)
+--- Thread: KITENZI KISHIRIKISHI NA MAUMBO YAK (/showthread.php?tid=1645)

KITENZI KISHIRIKISHI NA MAUMBO YAK - MwlMaeda - 12-03-2021

Kitenzi kishirikishi
Mifano
  • Yeye ‘ndiye mwalimu wao
  • Sisi tu wanafunzi watiifu
  • Jembe li shambani
Kitenzi kishirikishi (alama yake ya kiisimu ni: t) ni kitenzi ambacho hujulisha hali ya kuwepo au kutokuwepo kwa uhusiano/ushirikiano baina ya vipashio vya lugha. Uhusiano huo unaweza kuwa katika tabia, hali, au mazingirafulani.

Uchambuzi
  • Khadija ni mwizi (ni, ni hali ya kuyakinisha ya kwamba Khadija ana uhusiano na tabia ya wizi).
  • Joseph alikuwa mwalimu wetu (tendo kamilifu).
  • Amina hakuwa mchoyo (hapa inakanusha ya kwamba Amina hana uhusiano tabia ya uchoyo).
  • Kikombe ki mezani (hapa kipashio cha ki kimetumika kutaja mazingira au mahali kikombe kilipo – kiko mezani).
  • Juma yu mgonjwa (hapa inataja tena hali ya nafsi – ni mgonjwa).
Angalizo: Kitenzi kishiriki alama yake ni t ndogo.
Aina za vitenzi vishirikishi
Aina za vitenzi vishirikishi vimegawanyika katika makundi makuu mawili – navyo ni: