MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

Sitiari katika kazi za fasihi - Printable Version
JIFUNZE KISWAHILI
Sitiari katika kazi za fasihi - Printable Version

+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Fasihi kwa ujumla (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=73)
+--- Thread: Sitiari katika kazi za fasihi (/showthread.php?tid=1390)

Sitiari katika kazi za fasihi - MwlMaeda - 10-26-2021

[attachment=679]

Wataalamu na wachambuzi wa fasihi wanakipa umuhimu mkubwa kipengele cha sitiari (uhamishaji wa sifa kutoka kitu kimoja kwenda chengine) miongoni mwa tamathali za semi katika fasihi. Kuna ambao wanafikia umbali wa kuhoji kuwa ni kipengele hiki pekee ambacho kinaweza kuipa uhai kazi ya fasihi na kuifanya isimame kwenye maana halisi. Sikiliza hapa mhadhara wa Profesa Kulikoyela Kahigi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mbele ya Kongamano la 29 la Kiswahili la Bayreuth, kusini mwa Ujerumani. Sikiliza sauti kwa kubofya kiunganishi >>>>> Sikiliza sauti hapa